😠😠😠Duh! Mwamba upo serious kweli?
Yeah yuko sawa.Duh! Mwamba upo serious kweli?
Hivi wew unafaidika na ninikitendawiliiiiiiiiiiiiiiii.................tega.....nikuteg!!
Babu kazimia akiwa mdomo wazi...........
Jibu tafadhali..................
Tanzania ndio safi ni simple majority biashara inaishaNgoja tusaidiane ni a simple language na mfano, let's say kuna kura halali za urais 20,na katika kura hizi mgombea A kapata 12 ya kura halali zilizopigwa na mgombea B kapata kura 7 na mgombea C kapata kura 1,jumla ya kura zote itakua 12+7+1=20(hizi ni total ya kura halali zilizopigwa za urahisi na ndio 100%,ya kura zote),to be a winner ni LAZIMA uwe na kura 10(50% ya total vote(20)plus 1 vote yaani uwe na kura 11,sasa kwa katiba ya Kenya ya sasa ni lazima mshindi apate 50%ya kura zote halali (majority)plus 1,kuna hatari ya kufanya re run ya hawa top two.Tanzania unaweza kuwa president hata kama umepata 29%,ya total votes as far wengine wana below that!yaani A ana 10%,B ana 7%na C awe na 3%,ya total veto,huyu aliyepata 10%ya kura anaapishwa kuwa president
Mkuu si umeona re-runIf again there is no winner after a re-run what does the constitution say? Mwagika yote, tiririka yote ili tuelewe vizurimkuu
Yeah and within seconds unakimbilia humu kulalama na ajira za muda za sensa,!!Tanzania ndio safi ni simple majority biashara inaisha
OngezaRuto said......
Ruto has said..
Beauty!beauty! Beauty!
Hahaha...ngumu sana kutokea, kwamba kura 20 wapate 10 kwa 10!?If again there is no winner after a re-run what does the constitution say? Mwagika yote, tiririka yote ili tuelewe vizuri!
Nani alalame ? Ndugu yangu Demokrasia ni kitu kigumu sana ndio maana hata wakati Fulani chaguzi za Marekani zinaleta tatizo. Hata hawa wakenya bado ni shida tu. Mbona sasa TV zimezuiwa kwa muda kutoa taarifa ? Chezea Demokrasia weye.Yeah and within seconds unakimbilia humu kulalama na ajira za muda za sensa,!!
Kwenye re-run wanabaki wagombea wawili tu kwa hiyo possibility ya kupata mshindi ni 99.99999999 % kwa sababu uwezekano wa kupata kura 50% plus 1 vote ni mkubwa.If again there is no winner after a re-run what does the constitution say? Mwagika yote, tiririka yote ili tuelewe vizuri!
Mkuu usishangae sana, wanafunzi wote wa primary na secondary boarding wapo likizo kwasababu ya SENSA, ndio maana Sasa hivi jamii forums utoto umekuwa mwingi.Hivi wew unafaidika na nini
Soea hiyo sauti,soooeeeea hiyo sauti,soooooeeeeaaa hiyo sauti!!!! Hahaaa nampenda bure huyu atwoli.Alaah, alaah shenzi sana😂😂😂(kwa sauti ya Atwoli).
Mkuu kwa mwenendo ulivyo Ruto anachukua nchi bila marudio ya upigaji kura! Kuna uwezekano team ya Raila walifanya uongo mwingi kupitia media house anzia majuzi kwenye utoaji wa taarifaKwenye re-run wanabaki wagombea wawili tu kwa hiyo possibility ya kupata mshindi ni 99.99999999 % kwa sababu uwezekano wa kupata kura 50% plus 1 vote ni mkubwa.
Relax bro! usiwe na haraka usije kupatwa na tashwishiMkuu kwa mwenendo ulivyo Ruto anachukua nchi bila marudio ya upigaji kura! Kuna uwezekano team ya Raila walifanya uongo mwingi kupitia media house anzia majuzi kwenye utoaji wa taarifa
Babu kazimia huko nasikia.Relax bro! usiwe na haraka isije kupatwa na tashwishi
Uongo unatoka wapi tena wkt matokeo yapo kwenye site ya uchaguzi kila mtu anaweza kujumlishaMkuu kwa mwenendo ulivyo Ruto anachukua nchi bila marudio ya upigaji kura! Kuna uwezekano team ya Raila walifanya uongo mwingi kupitia media house anzia majuzi kwenye utoaji wa taarifa
Wewe wakati wanajumlisha ulihakikisha kuwa wanachotuletea public ni sahihi?Uongo unatoka wapi tena wkt matokeo yapo kwenye site ya uchaguzi kila mtu anaweza kujumlisha