Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
You're absolutely right. Watch the faces of each of the front line candidates
 
UPDATES

MATOKEO KENYA: ALIYEJIITA WAKALA WA ODINGA AKUTWA NA FOMU ZA MATOKEO


Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kama Wakala wa Mgombea Urais, Raila Odinga, amesababisha mzozo kwenye kituo cha kuhesabu Kura cha Runyenjes huko Embu baada kukutwa na fomu 34B na 37B kwenye gari yake.

Tukio hilo limetokea baada ya mawakala wa wagombea Ugavana kuzua tafrani walipobaini fomu hizo hazipo kituoni.

Baada ya kuhojiwa mwanaume huyo alisema yeye ni Wakala wa Odinga na aliletwa na Mwenyekiti wa Azimio la Umoja kutoka Kaunti ya Embu.

Hata hivyo Wakala wa Raila Odinga ambaye amekuwepo kituoni hapo siku zote alikana kumfahamu mtu huyo.
 
Duuuh baada ya sifa nyingi,sasa wanarudi kwenye akili za mwafrika halisi
 
Na itaaminikaje kuwa madai hayo si ya mgombea urais William Ruto ili kuzusha tafrani katika uchaguzi.Hapo ilipofikia Kikwete arudi nyumbani awaachie na vurugu lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…