Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mahela asingekuwa na jeuri kama asingepewa na yule mwenda kuzimu. Mungu aturehemu.


JESUS IS LORD
Kabla ya Mahela mbona tulikuwa tunachezeshwa Sindimba,uchaguzi 2015, 2010 alikuwa ni JPM pia? Uchaguzi wa 2005 je? Unashindwa kuliangalia tatizo kwa upana wake unakimbilia kupeleka hasira zako kwa mtu mmoja?
 
Baba Yesu tunavyokupenda kwa nguvu zote msaidie ndugu Ruto mwana wa Samoei the hustler aibuke mshindi Ili wote tufurahi.

Yesu mtu wangu Niko on my bended knee please msaidie Ruto the humble God fearing gentleman ashinde na aruke hivi vizinginti uchwara vya deep state.

Ruto the president
 
Leo mabangi amcha Mungu safi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo sahihi,kwa sasa pande zote mbili zimeshacheza rafu za kutosha ndani ya huu muda wa Tume kuhakiki matokeo,hakuna tena kura halali hapo.
yeah itakuwa one vs one ,hata kulinda kura ni rahisi maana ya wabunge na magavana tayari kwahiyo nguvu itakuwa kwenye kulinda kura
 
Ngoma nzito hadi umeamua kusali kabisa.Nilikutahadharisha siku ya kwanza kuwa mambo kwa ground si rahisi ki hivyo.Sasa muda si mrefu utaelewa kwanini Uhuru ameamua kusimama na RAO.
 
Ngoma nzito hadi umeamua kusali kabisa.Nilikutahadharisha siku ya kwanza kuwa mambo kwa ground si rahisi ki hivyo.Sasa muda si mrefu utaelewa kwanini Uhuru ameamua kusimama na RAO.
Hahaha nafuatilia Sasa hivi. Ruto anaongoza Zaid. Raila hoi. Ruto tayari rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…