Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uchaguzi wa amani au matokeo yatangazwe kwa amani?
 
ukika ganja vizuri hata mtu akikwambia kuna kufa unamwambia baada ya kufa nitaenda kuzaliwa ulaya 😀

yeye asubir tu ataapishwa muda sio murefu
 
Ebana ulisema utatembea uchi jiandae kuvua mkanda ufatie na kyupi
Heshima kwako mkuu. Niko hapa napumzika break kwenye kubeba boksi. Frankly speaking Raila akishinda nitazimia. Kamwe Tena sitakihusisha na ushabiki kwa mambo yasiyonihusu. Ila Ruto akitangazwa mshindi kutalipuka na shangwe ya hatariiii Hadi Hawa wazungu hapa watashanga.

Ila nimesikia tayari time imeshamjulisha mshindi wa uchaguzi na amekaribishwa bomasi. Am sure he is Ruto Samoei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…