tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Hizi shamrashamra hapo IEBC Bomas ni kielelezo toshaKashatangazwa kwani
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi shamrashamra hapo IEBC Bomas ni kielelezo toshaKashatangazwa kwani
Ova
Naona wanaimba kwayaHizi shamrashamra hapo IEBC Bomas ni kielelezo tosha
😀😀😀😀Naona wanaimba kwaya
Vp kwanini wasimuite mondi aje
Atumbuize [emoji1]
Ova
Naona ni mwendo wa mziki kutoka kwa wanakwaya safi sana,syo unawapeleka wahuni wanakata mauno kupiga kelele tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yani kila mtu hapo bomas ana furaha kasoro wachache sanaNaona ni mwendo wa mziki kutoka kwa wanakwaya safi sana,syo unawapeleka wahuni wanakata mauno kupiga kelele tu
Watu wanataka mziki wenye inspiration hapo
Ova
Ngoja tuone lkn maana siasa hiziYani kila mtu hapo bomas ana furaha kasoro wachache sana
Matokeo yapo online,BBC wanatoa wapi matokeo huku Tume haijatangaza??
Matokeo yapo online,
Luna kwaya mbili zimealikwa hapo,mmoja ni ya hapo Kenya na nyingine ni kutoka TanzaniaNaona wanaimba kwaya
Vp kwanini wasimuite mondi aje
Atumbuize [emoji1]
Ova
Serikali ya mseto kwani hujui Azimio wana viti vingi Bungeni kuliko UDA,vilevile wameongoza kwa maseneta na magavana.Wakisema kura hazijatosha kwa kila mmoja itawagharim kurudia.kurudia gharama wakisema waunde serikali ya mseto nani atakubali kuwa makamu au waziri mkuu kazi ipo hapo sasa.
Matokeo yaliyokuwa uploaded yaliyo verified ni 90% ya matokeo yoteYaliyoko online ni unverified. Verified wanatangaza tume.
Nani kakwambiaMbona yaonesha Ruto ndo mshindi
Ebana ulisema utatembea uchi jiandae kuvua mkanda ufatie na kyupiMkuu Nakuonea huruma sana. Yani Bado unajipa moyo tu na matokeo Yako wazi Ruto anaongoza 51%
Heshima kwako mkuu. Niko hapa napumzika break kwenye kubeba boksi. Frankly speaking Raila akishinda nitazimia. Kamwe Tena sitakihusisha na ushabiki kwa mambo yasiyonihusu. Ila Ruto akitangazwa mshindi kutalipuka na shangwe ya hatariiii Hadi Hawa wazungu hapa watashanga.Ebana ulisema utatembea uchi jiandae kuvua mkanda ufatie na kyupi