Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mkuu faatilia vizuri.
Ruto anaweza anzisha vurugu sema Hana backup ya dola au kabila kubwa la kufanya violence.
Raila ndo mjuzi wa kuanzisha violence, kumbuka alishatangaza kushinda. Ruto yupo kimya koz anaamini upepo upo kwake kushinda. Halafu watu wa kabil la lake siyo violent kama Jaluo na Kikuyu. Ila violence Kenya ni jamii zaidi kuliko mtu mmoja.
 
Waàma
Halafu wamama ndo wanawaweka makamu wao wenza.
 
Gideoni Moi alikua Azimio toka mwanzo kabisa, ndio umejua jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…