Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kwa sherehe ninazoziona Kisumu muda huu,si bure kuna jambo wanalijua in advance. Naona mwana wa Jaramogi anaenda ikulu .
Kuna sherehe kubwa? Umeona kwenye chombo gani? Ramli yangu imeelemea kwa Ruto. Hata matokeo yalipokomea (idadi ya kura inaonyesha Ruto yuko mbele) inaonyesha kabisa wanaandaa watu kisaikolijia kuwa Ruto ni mshindi.
 
Jaluo hana violence yyte.
 
Kwamba wakalenjin sio violance? Itakua umehadithiwa khs hao jamaa subiri kichaa kiwapande utawaelewa vzr
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…