Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
We ungeenda?Raila mbona haendi bomas?
Aache woga, kapigwa akatoe fair playWe ungeenda?
Pressure inapanda na kushuka huko,yupo chini ya madaktariNaona Odinga kaamua kuangalia matokeo akiwa nyumbani kagoma kwenda Bomas.
Kwani ni nini kinaendelea huko, matokeo vip?Pole sana mkuu
Ruto ndiye mshindi.Sasa kama ni ivo hapo mbona habari zingekuwa zimetapakaa sana..
🤣🤣🤣Aache woga, kapigwa akatoe fair play
Matokeo vip wameshatangaza kwani Ruto hajashinda au?Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Nimemuona DP W.S RUTO akiwa anawasili Bomas, naomba kuuliza kile kilichovimba kwenye koti lake upande wa nyuma ni silaha au bullet proof.
Mpe kalamu akuandikie urithi kabisa soon anakufwaa.Baba the 5th
Bado. Raila hajafika na inaonekana ameshanusa kituKatangazwa
Kwani
Ova
Bado hawajatangazaMatokeo vip wameshatangaza kwani Ruto hajashinda au?