Nami nasubiri hapa maana nimeona ila sikupata jibu, maana sio mnene kiasi kileNimemuona DP W.S RUTO akiwa anawasili Bomas, naomba kuuliza kile kilichovimba kwenye koti lake upande wa nyuma ni silaha au bullet proof.
Kwani hajashindaHivi kuna watu wanaamini Ruto atashinda eti 🤣 🤣
Bullet proof vestNimemuona DP W.S RUTO akiwa anawasili Bomas, naomba kuuliza kile kilichovimba kwenye koti lake upande wa nyuma ni silaha au bullet proof.
Eh kwa hiyo diamond alienda ili awambie wakenya wamchague odinga.....Wakamwita Diamond lakini wapi ?Ila Ruto kilichompa ushindi ni kampeni zake alizofanya kuhusu purchasing power. Sasa hivi kila kitu kimepanda bei. Na Ruto aliahidi kuja na solutions ili hali hii ya uchumi isiwaumize wakenya
Huyu mzee atakuwa ameingia mitiniMbona kama Raila haji hapa Bomas ?
Hivi unadhani Raila na Ruto hawajui matokeao? Wameshayapata siku nyingi. Pia rais Kenyata ameshapewa taarifa siku nyingiHawaruhusiwi mkuu kufanya hivyo. Mwenye mamlaka hayo ni mwenyekiti pekee wa tume.
Hao mawakala wanakuwa chini ya uangalizi na ulinzi mkubwa wasitoe siri za uchaguzi.
Hayo mambo tunayaelewa mkuu. Ingekuwa hivyo basi hakuna haja ya mwenyekiti kuwa na matokeo ya mwisho.
Unajua maandalizi ya Rais mtarajiwa??Huyu mzee atakuwa ameingia mitini
Kwani tayari?Ziara ya kwanza ya Rais Ruto ni Tanzania.
Naomba isiwe kweli ulichoandikaShamra shamra kwa odinga ni nyingi sanaa..
Hivi unadhani Raila na Ruto hawajui matokeao? Wameshayapata siku nyingi. Pia rais KenyataHawaruhusiwi mkuu kufanya hivyo. Mwenye mamlaka hayo ni mwenyekiti pekee wa tume.
Hao mawakala wanakuwa chini ya uangalizi na ulinzi mkubwa wasitoe siri za uchaguzi.
Hayo mambo tunayaelewa mkuu. Ingekuwa hivyo basi hakuna haja ya mwenyekiti kuwa na matokeo ya mwisho.
Soma maandiko ukutani. Ruto nadhani ndiye mshindi. Angalia hata msafara wake ulivyoingia. Na pia Raila nilimwona jana kanisani, sura tu inaonyesha alishajua kuwa ameshindwa.Yaani mi hapa nimebanwa na haja nashindwa hata kwenda kuko.....halafu humu watu bado wanazunguka zunguka tu.
Hamna kitu kama hicho, ameze tu panadol hamna namnaUnajua maandalizi ya Rais mtarajiwa??
Mpaka dakika hii mshindi anajijua maana walisema saa 14:30 atapigiwa simuBado. Raila hajafika na inaonekana ameshanusa kitu
🤣🤣🤣🤣relax kijanaNaomba isiwe kweli ulichoandika
Mzee mzima anapakwa make upAtachelewa kidogo, ikiwezekana endeleeni tu na mchakato View attachment 2324492
Hah tayari wapi mkuu!wakati kwa Raila huko home ni sherehe hadi kwaya zinatumbuizaKwani tayari?