Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kwa taarifa zilizopo wafuasi wa Rutto mnashauriwa makanunue Panado au any pain killer maana soon maumivu mtakayoyapata yatakuwa makubwa usipo kuwa na hizo tembe unaweza kusababisha mambo mengine.

Najua hii habari hamtaipenda ila ndivyo ilivyo!

Habari za ndani tukimaliza ku compile tunakuja na Baba.

Asanteni sana.
 
Hebu nifafanulieni wajuzi hii form 34C inayo lalamikiwa maana yake ni nini?
Wajanja wame_hack mfumo hakuna cha fomu hapo, but it looks like janja janja kuna mtu anatafutwa kupigwa chini kwa mtindo wa kuchakachuwa matokeo.

Hiyo njia ya kusema fomu No. 34C haipo ni njia ya kutaka kuvuruga ushindi wa mtu somewhere.
 
Wajanja wame_hack mfumo hakuna cha fomu hapo, but it looks like janja janja kuna mtu anatafutwa kuligwa chini kwa mtindo wa kuchakachuwa matokeo.

Hiyo njia ya kusema fomu No. 34C haipo ni njia ya kutaka kuvuruga ushindi wa mtu somewhere.
Daah ila kwa Kenya hii hali ni ya hatari manake mpaka maafisa watume ya uchaguzi wamesha gawanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…