Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah anajiamini vibaya mnooo.. yeue ndo kamfata pale juu jecha wa kenya mixer ana kirungu kama cha waman'gatiNi mbunge pia nadhani,
Wajanja wame_hack mfumo hakuna cha fomu hapo, but it looks like janja janja kuna mtu anatafutwa kupigwa chini kwa mtindo wa kuchakachuwa matokeo.Hebu nifafanulieni wajuzi hii form 34C inayo lalamikiwa maana yake ni nini?
Yaah Senator NarokNi mbunge pia nadhani,
Waoga tu, sio usitaarabuPamoja na uwizi wa kura watanzania ni wastaarabu Africa mashariki ,watu wanapishana mlango mdogo kama shimo la panya.
Na mama yake yupoRuto yupo BOMAS?
Daah ila kwa Kenya hii hali ni ya hatari manake mpaka maafisa watume ya uchaguzi wamesha gawanyika.Wajanja wame_hack mfumo hakuna cha fomu hapo, but it looks like janja janja kuna mtu anatafutwa kuligwa chini kwa mtindo wa kuchakachuwa matokeo.
Hiyo njia ya kusema fomu No. 34C haipo ni njia ya kutaka kuvuruga ushindi wa mtu somewhere.