Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
huyo katibu wa iebc kafanya bonge la blander..ikitokea after this rais akawa Rutoo ametengeneza kitu kibaya sana, same to yule mbunge na narok
 
Hii ngoma inaenda mahakamani. Katiba inasema mwenyekiti wa tume ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hivyo wanaendelea na taratibu za kumtangaza ila nina uhakika mambo yataishia mahakamani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…