Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Makamu mwenyekiti IEBC, Cherera anataka kuleta vurugu nchini Kenya.. Chebukati ndio mwenye mamlaka ya kutangaza mshindi, sasa Ruto kashinda, ila sbb system haimtaki, Cherera anaanza kuleta vurugu, ila security organs ziko makini, naona hali imekuwa poa..

Rutooooo Rutoooooooo goo
Hii ngoma inaenda mahakamani. Katiba inasema mwenyekiti wa tume ndiye mwenye mamlaka ya kutangaza hivyo wanaendelea na taratibu za kumtangaza ila nina uhakika mambo yataishia mahakamani,
 
Back
Top Bottom