Wazee wa kuhamisha magoli mmeshaanza sasa.Nadhani huu ulikuwa mchongo wao UhuRuto, mzee Odinga alichanganywa.
Uhuru alikuwa timu Odinga 100%. Hiyo siyo chenga, hiyo ni failure. Wamefeli wote
Uhuru amempiga chenga kali sana mzee Odinga.π
Uhuru is only a single vote. ππDaah fu.ck Uhuru Kenyatta you pleid us
Hebu msikilize hapaπKenyatta sijui yupo kwenye Hali gani?
Siasa hizi! Hongera sana Hustler.
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Muda wa kumwagilia moyo huu hadi uelee, bili atalipa RUuuToOOoooooo!
Kwa kweli Baba apumzike sasa..Hongera Ruto
Babu astaafu tu imetosha sasa