Upo sahihi kabisa Chief, kura moja ina thamani sana kwa unayemtaka au usiyemtaka.Watu wengi hawajui hii fact: i.e. kutopiga kura kuna impact kama kupiga kura. Huwa nawasikia watu wakati wa uchaguzi wanasema siendi kupiga kura wasijui kutopiga kwao kura kunafanya mgombea wasiyemtaka apite kirahisi. Hapa na assume uchaguzi ni huru kama ilivyokuwa Kenya.
Mnahamisha magoli?Corrupt and injustices are underway. Kenyans has lost big it is just a matter of time
...👊👊👊... FactAcha justification za kitoto,mie ni CCM damu ni ukweli kuwa sisi tunawakandamiza sana uponzani sio kwamba hawajui wanataka nini.Wanasiasa kuhama vyama ni kawaida hata huoni mfano mdogo huko Kenya??
Niliwahi mwambia mtu hii kitu ya Ruto na Kenyatta akabiisha ni mwambia hivi ogopa kitu kinaitwa best friend kinashinda unduguAlikua blinded na tamaa ya kuutaka Urais.
Ogopa sana urafiki wa Ghafla.
Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
Anatamani ku unfriend nae ila ndio hivyo tena muha haurudi nyuma😂😂Kwamba alikuwa anamchezea shere Baba 🤣🤣🤣
Unachosema ni sahihi. Ila sio vibaya kujifunza kwa jirani.TUCHAMBUE KUHUSU TOZO, SIASA ZA KENYA TUWAACHIE WENYEWE!
Kahama sio issues kukosa msimamo kwa wanacho kusimamia.Nimekwambia wanasiasa kuhama vyama ni Duniani kote,Tanzania upinzani wanakandamizwa.
Duu, sijaelewa chochote hapa!Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
Nawasikiliza hapa, wanazingua kinoma.. Hasa huyu mzee aliyevaa miwani... Anaongea utumbo kishenzi
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.Mkuu,kwa Afrika yetu hakuna kitu raisi akitaka kufanya anashindwa, akishindwa kisheria basi atakifanya sirini na madhara yatakuwa mabaya zaidi.
Uhuru angeamua hata hao Ruto na Wafula wasingeona huu uchaguzi.
Bado naendelea kuamini na sababu ninazo, UhuRuto kwa mara ya tatu wamemchezea Raila. Huu mchezo wameucheza kisomi sana.
Sio kweli, unataka kusema Uhuru asingeungana na Raila, Raila angeshinda?Raila amechezewa keusi kekundi na Uhuru,atulie tu historian itamkumbuka yeye na Baba yake kwa kuweka mifumo ya democrasia Kenya.
Yawezekana Uhuru anaogopa Raila angekuja kumsaliti kwa kuwa Baba yake alimsaliti mzee Oginga.
Sio kweli. Kuna muda ukifika hata ufanyaje watu watakukataa, Uhuru amefanya kila mbinu na ameshindwa.Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.
Ruto mara nyingi amesema Uhuru alijaribu kumuua akashindwa. Sasa Kama lao lilikua moja Ruto asingetoa shutuma nzito na kubwa kama hizo. Uhuru amefanya kila namna, Ila ukweli ameshindwa.
Mambo ambayo chama inasimamia inategemeana na hali ya siasa katika kipindi husika,unataka kusema mabovu mangapi ambayo CDM imeyafanya ni mengi kuliko tyliyafanya toka 1961????.Kahama sio issues kukosa msimamo kwa wanacho kusimamia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Watu wanasubiri matokeo ya Kenya vibaya mno
Hivo mnaskia ndio mtu akiwa na mimba anasikiaga[emoji23][emoji23]alafu unafika Hospitali unaambiwa Mtoto hajateremka utembee tembee kidogo[emoji23][emoji23]
Aseee mchuano ni mkali
Mkuu ukiwa Rais katika Nchi za Africa huwezi shindwa jambo,yani nawe unaamini kabisa kama angetaka kumua Ruto angeshindwa?Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.
Ruto mara nyingi amesema Uhuru alijaribu kumuua akashindwa. Sasa Kama lao lilikua moja Ruto asingetoa shutuma nzito na kubwa kama hizo. Uhuru amefanya kila namna, Ila ukweli ameshindwa.
Issue ulisema ukiwa raisi ukitaka kuiba hutashindwa ndio nikakutolea mfano wa Edgar lungu mbona alishindwa.Kwamba mkuu na wewe unaamini kabisa Rais wa Nchi anaweza kuamua kukuua na akashindwa? Ukiwa unaishi hapo nchini?
Vipi nikikwambia hayo yalikuwa makubaliano ili kupata huruma ya wapiga kura na umeona mafanikio yake?[emoji23]
Kuhusu Edgar Lungu mkuu,hebu tofautisha kati ya mtu kuwa mpinzani wako kisiasa na kuwa na ugomvi binafsi na mtu.
Mutharika mbona alishindwa? Edgar Lungu ambae mlisema alikuwa dikteta katili mbona nae alishindwa? Usikariri, sio mara zote utafanya hila utaweza.Mkuu ukiwa Rais katika Nchi za Africa huwezi shindwa jambo,yani nawe unaamini kabisa kama angetaka kumua Ruto angeshindwa?