Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Upo sahihi kabisa Chief, kura moja ina thamani sana kwa unayemtaka au usiyemtaka.Watu wengi hawajui hii fact: i.e. kutopiga kura kuna impact kama kupiga kura. Huwa nawasikia watu wakati wa uchaguzi wanasema siendi kupiga kura wasijui kutopiga kwao kura kunafanya mgombea wasiyemtaka apite kirahisi. Hapa na assume uchaguzi ni huru kama ilivyokuwa Kenya.