Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Watu wengi hawajui hii fact: i.e. kutopiga kura kuna impact kama kupiga kura. Huwa nawasikia watu wakati wa uchaguzi wanasema siendi kupiga kura wasijui kutopiga kwao kura kunafanya mgombea wasiyemtaka apite kirahisi. Hapa na assume uchaguzi ni huru kama ilivyokuwa Kenya.
Upo sahihi kabisa Chief, kura moja ina thamani sana kwa unayemtaka au usiyemtaka.
 
Acha justification za kitoto,mie ni CCM damu ni ukweli kuwa sisi tunawakandamiza sana uponzani sio kwamba hawajui wanataka nini.Wanasiasa kuhama vyama ni kawaida hata huoni mfano mdogo huko Kenya??
...👊👊👊... Fact
 
Alikua blinded na tamaa ya kuutaka Urais.

Ogopa sana urafiki wa Ghafla.
Niliwahi mwambia mtu hii kitu ya Ruto na Kenyatta akabiisha ni mwambia hivi ogopa kitu kinaitwa best friend kinashinda undugu
 
Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
Alimuingiza tu chaka ili ampishe rafiki yake ikulu na wakenya wasijue.

Kwa hali ilivyo kama Uhuru angemuunga mkono Ruto, Ruto angeshindwa, na hata kama angeshinda basi Wakenya wangepigana(mnaachiana Ikulu kirafiki)

Watu wanasahau uchaguzi uliopita kuna mtu alikufa na mkono ukakatwa,😂
 
Nawasikiliza hapa, wanazingua kinoma.. Hasa huyu mzee aliyevaa miwani... Anaongea utumbo kishenzi

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Kuna yule mchambuzi hakuwa studio, anakuambia "Wakenya wamefanya jambo la maana sana kumchagua Odinga maana anaonekanani mtu mwenye busara na akili tulivu, huyu mwingine atawaletea matatizo sana😂😂😂".
Hapo bado matokeo hayajatangazwa, tayari wamesha side upandewa mgombea mmoja.
 
Mkuu,kwa Afrika yetu hakuna kitu raisi akitaka kufanya anashindwa, akishindwa kisheria basi atakifanya sirini na madhara yatakuwa mabaya zaidi.

Uhuru angeamua hata hao Ruto na Wafula wasingeona huu uchaguzi.
Bado naendelea kuamini na sababu ninazo, UhuRuto kwa mara ya tatu wamemchezea Raila. Huu mchezo wameucheza kisomi sana.
Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.

Ruto mara nyingi amesema Uhuru alijaribu kumuua akashindwa. Sasa Kama lao lilikua moja Ruto asingetoa shutuma nzito na kubwa kama hizo. Uhuru amefanya kila namna, Ila ukweli ameshindwa.
 
Raila amechezewa keusi kekundi na Uhuru,atulie tu historian itamkumbuka yeye na Baba yake kwa kuweka mifumo ya democrasia Kenya.
Yawezekana Uhuru anaogopa Raila angekuja kumsaliti kwa kuwa Baba yake alimsaliti mzee Oginga.
Sio kweli, unataka kusema Uhuru asingeungana na Raila, Raila angeshinda?

Raila hajaanza kugombea jana wala juzi, tatizo ni kuwa wakenya hawataki mjaluo kuwa raisi.
 
Huu ndio ukweli kama Raila angetaka Odinga awe Rais angekuwa no matter what,ni either kuna makubaliano baina yao au amemusaliti.
Sio kweli. Kuna muda ukifika hata ufanyaje watu watakukataa, Uhuru amefanya kila mbinu na ameshindwa.

Ingekua rahisi hivyo leo hii kule Zambia Hichilema asingekua raisi kwa sababu Lungu alikua ameshika system yote
 
Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.

Ruto mara nyingi amesema Uhuru alijaribu kumuua akashindwa. Sasa Kama lao lilikua moja Ruto asingetoa shutuma nzito na kubwa kama hizo. Uhuru amefanya kila namna, Ila ukweli ameshindwa.
Kwamba mkuu na wewe unaamini kabisa Rais wa Nchi anaweza kuamua kukuua na akashindwa? Ukiwa unaishi hapo nchini?

Vipi nikikwambia hayo yalikuwa makubaliano ili kupata huruma ya wapiga kura na umeona mafanikio yake?😂

Kuhusu Edgar Lungu mkuu,hebu tofautisha kati ya mtu kuwa mpinzani wako kisiasa na kuwa na ugomvi binafsi na mtu.
 
Kahama sio issues kukosa msimamo kwa wanacho kusimamia.
Mambo ambayo chama inasimamia inategemeana na hali ya siasa katika kipindi husika,unataka kusema mabovu mangapi ambayo CDM imeyafanya ni mengi kuliko tyliyafanya toka 1961????.

Ukweli ni kuwa Upinzani Tanzania unakosa support ya Wananchi na hiyo hali ya Wananchi kuugopa kupigania hali zao inatokana na mfumo mbovu ambayo nyerere aliuweka nothing less.
 
Watu wanasubiri matokeo ya Kenya vibaya mno
Hivo mnaskia ndio mtu akiwa na mimba anasikiaga[emoji23][emoji23]alafu unafika Hospitali unaambiwa Mtoto hajateremka utembee tembee kidogo[emoji23][emoji23]
Aseee mchuano ni mkali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Sio kweli, Kuna baadhi ya sehemu kuna ugumu. Edgar Lungu wanasema alikuwa dikteta katili sana, Ila aliangushwa kwenye uchaguzi na Hichilema kule Zambia. Kuna muda ukifika hata ufanyaje.

Ruto mara nyingi amesema Uhuru alijaribu kumuua akashindwa. Sasa Kama lao lilikua moja Ruto asingetoa shutuma nzito na kubwa kama hizo. Uhuru amefanya kila namna, Ila ukweli ameshindwa.
Mkuu ukiwa Rais katika Nchi za Africa huwezi shindwa jambo,yani nawe unaamini kabisa kama angetaka kumua Ruto angeshindwa?
 
Kwamba mkuu na wewe unaamini kabisa Rais wa Nchi anaweza kuamua kukuua na akashindwa? Ukiwa unaishi hapo nchini?

Vipi nikikwambia hayo yalikuwa makubaliano ili kupata huruma ya wapiga kura na umeona mafanikio yake?[emoji23]

Kuhusu Edgar Lungu mkuu,hebu tofautisha kati ya mtu kuwa mpinzani wako kisiasa na kuwa na ugomvi binafsi na mtu.
Issue ulisema ukiwa raisi ukitaka kuiba hutashindwa ndio nikakutolea mfano wa Edgar lungu mbona alishindwa.

Kuua mtu mkubwa Kama Ruto sio raisi na inaweza kushindikana mifano ipo na unaijua.

Kusema alikuwa anataka kuzuga ili Ruto apate uraisi ni uongo. Kwani odinga hii ni mara ya kwanza kugombea uraisi? Siku zilizopita mbona maraisi hawakushirikiana na odinga ili kumzuga Kama unavyosema??
 
Bepari aliyemzidi mwenzake nguvu ndio mshindi...ila jaluo kupata nchi ni kazi, utaona kila siku kura zinakaribiana ila jaluo hapati aisee.
 
Back
Top Bottom