Kweli kabisa tuna la kujifunza kwa wakenyaCcm Inasonya Na Kutema Mate Mbali
Comrade Wafula Chebukati Ameshikilia Panapotakiwa, Wakenya Wamepevuka
Democracy Kenya Imeonyesha Njia Mpya Kabisa
Hakuna kitu kama hicho. Huyu alianza kugombea kabla hata ya marehemu hajawaza urais. Iko hivi wajaruo hawatakiwi kutawala Kenya. Aidha, kupigiwa kampeini na Rais aliyeko madarakani kumemkosesha urais maana wakenya wanajitambua sana na tume yao iko huru.Jiwe alimtia nuksi Odinga kwa kufanya urafiki naye. Jiwe alikuwa ni shetani kamili.
View attachment 2324996
Akishinda mbona hakutangazwa?We hujui siasa za Kenya yale maridhiano yalitokana na Nini. Pindi ile odinga alipaswa kuwa rais na alimshinda mwai kibaki lkn kibaki hakukubal kushindwa na akaiteka tumë ya uchaguz ikamtangaza yeye mshindi kibabe
Magufuli pia ana nuksi. Angalia hata hapa kwetu Tanzania kila aliyependwa na jiwe hivi sasa ana kimavi:- Makonda, Sabaya, Happi, Heri James, Bashiru, Kabudi, Polepole, n.kHakuna kitu kama hicho. Huyu alianza kugombea kabla hata ya marehemu hajawaza urais. Iko hivi wajaruo hawatakiwi kutawala Kenya. Aidha, kupigiwa kampeini na Rais aliyeko madarakani kumemkosesha urais maana wakenya wanajitambua sana na tume yao iko huru.
Safi Sana. We love your spirit and indeed you have raised the bar of democracy for KenyaShukran sana wenzetu, mimi ni mkaazi wa mombasa, na kuna utulivu huku kwetu. Watu ni kama washakubali matokeo na sasa wanaendelea na maisha yao na kutafuta riziki.
Hiyo ni kawaida ya wanasiasa. Kila mmoja akipata madaraka anataka afanye kazi na timu yake kwa ajili kutimiza maono yake. Hata wewe leo hii ndugu yangu ukipata urais utafanyaMagufuli pia ana nuksi. Angalia hata hapa kwetu Tanzania kila aliyependwa na jiwe hivi sasa ana kimavi:- Makonda, Sabaya, Happi, Heri James, Bashiru, Kabudi, Polepole, n.k
Mkuu hii nadharia unayoisema kuna wachambuzi wa siasa Kenya wanafikiria hivyoMzee aliamini sana vya kupewa. Watu wamepandishwa wote ICC halafu waje wagombane na wavunje makubaliano yao hivi tu.
Yani Rais agombane na Naibu wake hadi kufikia kumpa mtu mwingine kazi za Naibu rais na wala asimfanyie figisu kumtoa serikalini? 😂
Raila hakuwa smart tu.
Mkuu hili unalowaza hata wachambuzi wa siasa Kenya walijuwa wameliona hata kabla ya uchaguziNi kweli Ruto na Odinga ni marafiki kitambo sana,ila muda utafika tutaelewa tu kipi kilichokuwa nyuma ya pazia.
Wala isikuchanganye....kuna Ole sabaya, Ole nasha, Ole Sendeka, Ole Sosopi.....ni watu tofauti kabisa...kwa hyo Arap siyo tatizoWillium Samuelo Arap Ruto ila mimi hapa kwenye Arap hapa pananichanganya hapa.
Kwa kweli hapa kama ni kubeti nilichaniwa mkekaKwani hajashinda
Bado nipo hapo Sana Wallah sijui kwanini all in all namzia Sana RutoWala isikuchanganye....kuna Ole sabaya, Ole nasha, Ole Sendeka, Ole Sosopi.....ni watu tofauti kabisa...kwa hyo Arap siyo tatizo
Bado nipo hapo Sana Wallah sijui kwanini all in all namzia Sana Ruto
Bado unalia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] muda si mrefu kuna watakaolia na watakaocheka