Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wakenya hongereni sana kwa uchaguzi wenu uliomalizika Kwa Bw. Ruto kuwa Rais wa tano.
Mmeonyesha ukomavu kwa kukataa kuchaguliwa Rais na kiongozi aliyeko madarakani. Hii ndio Demokrasia. Tanzania bado tuna safari ndefu mno kuifikia Kenya kwa upande wa Demokrasia kwa maana tulipata kuambiwa siku moja kwamba hata 'goli la mkono litafungwa' ! Mungu isaidie nchi yetu iweze kuwa na Uhuru wa kuchagua viongozi wanaoungwa mkono na wananchi siyo na chama Tawala tu.
 
Comrade Wafula Chebukati Ameshikilia Panapotakiwa, Wakenya Wamepevuka

Ccm Inasonya Na Kutema Mate Mbali
Democracy Kenya Imeonyesha Njia Mpya Kabisa
 
Comrade Wafula Chebukati Ameshikilia Panapotakiwa, Wakenya Wamepevuka

Ccm Inasonya Na Kutema Mate Mbali
Democracy Kenya Imeonyesha Njia Mpya Kabisa
Kweli kabisa tuna la kujifunza kwa wakenya
 
Jiwe alimtia nuksi Odinga kwa kufanya urafiki naye. Jiwe alikuwa ni shetani kamili.
20220816_073849.jpg
 
Jiwe alimtia nuksi Odinga kwa kufanya urafiki naye. Jiwe alikuwa ni shetani kamili.
View attachment 2324996
Hakuna kitu kama hicho. Huyu alianza kugombea kabla hata ya marehemu hajawaza urais. Iko hivi wajaruo hawatakiwi kutawala Kenya. Aidha, kupigiwa kampeini na Rais aliyeko madarakani kumemkosesha urais maana wakenya wanajitambua sana na tume yao iko huru.
 
We hujui siasa za Kenya yale maridhiano yalitokana na Nini. Pindi ile odinga alipaswa kuwa rais na alimshinda mwai kibaki lkn kibaki hakukubal kushindwa na akaiteka tumë ya uchaguz ikamtangaza yeye mshindi kibabe
Akishinda mbona hakutangazwa?
 
Hakuna kitu kama hicho. Huyu alianza kugombea kabla hata ya marehemu hajawaza urais. Iko hivi wajaruo hawatakiwi kutawala Kenya. Aidha, kupigiwa kampeini na Rais aliyeko madarakani kumemkosesha urais maana wakenya wanajitambua sana na tume yao iko huru.
Magufuli pia ana nuksi. Angalia hata hapa kwetu Tanzania kila aliyependwa na jiwe hivi sasa ana kimavi:- Makonda, Sabaya, Happi, Heri James, Bashiru, Kabudi, Polepole, n.k
 
Shukran sana wenzetu, mimi ni mkaazi wa mombasa, na kuna utulivu huku kwetu. Watu ni kama washakubali matokeo na sasa wanaendelea na maisha yao na kutafuta riziki.
 
Magufuli pia ana nuksi. Angalia hata hapa kwetu Tanzania kila aliyependwa na jiwe hivi sasa ana kimavi:- Makonda, Sabaya, Happi, Heri James, Bashiru, Kabudi, Polepole, n.k
Hiyo ni kawaida ya wanasiasa. Kila mmoja akipata madaraka anataka afanye kazi na timu yake kwa ajili kutimiza maono yake. Hata wewe leo hii ndugu yangu ukipata urais utafanya
kazi na timu unayoitaka ili kutimiza malengo yako
 
Mzee aliamini sana vya kupewa. Watu wamepandishwa wote ICC halafu waje wagombane na wavunje makubaliano yao hivi tu.

Yani Rais agombane na Naibu wake hadi kufikia kumpa mtu mwingine kazi za Naibu rais na wala asimfanyie figisu kumtoa serikalini? 😂
Raila hakuwa smart tu.
Mkuu hii nadharia unayoisema kuna wachambuzi wa siasa Kenya wanafikiria hivyo

Maana kama Uhuru angemuunga mkono Ruto basi hiyo ndio ingekuwa anguko la Ruto, yaani kama Uhuru angetaka Ruto amrithi, njia pekee ilikuwa ni kupingana naye na kumfanya mpinzani

Lakini haifahamiki ilikuwa makusudi au bahati mbaya??

Soma hapa

Willium Samuelo Arap Ruto ila mimi hapa kwenye Arap hapa pananichanganya hapa.
 
Willium Samuelo Arap Ruto ila mimi hapa kwenye Arap hapa pananichanganya hapa.
Wala isikuchanganye....kuna Ole sabaya, Ole nasha, Ole Sendeka, Ole Sosopi.....ni watu tofauti kabisa...kwa hyo Arap siyo tatizo
 
Back
Top Bottom