nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Wakenya hongereni sana kwa uchaguzi wenu uliomalizika Kwa Bw. Ruto kuwa Rais wa tano.
Mmeonyesha ukomavu kwa kukataa kuchaguliwa Rais na kiongozi aliyeko madarakani. Hii ndio Demokrasia. Tanzania bado tuna safari ndefu mno kuifikia Kenya kwa upande wa Demokrasia kwa maana tulipata kuambiwa siku moja kwamba hata 'goli la mkono litafungwa' ! Mungu isaidie nchi yetu iweze kuwa na Uhuru wa kuchagua viongozi wanaoungwa mkono na wananchi siyo na chama Tawala tu.