Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
16 August 2022
Kaunti ya Kisumu
Kenya

Wakaazi wa Kisumu wazungumzia hatua ya AZIMIO LA UMOJA kwenda kortini

 
Kubali yaishe kuwa raila ajifunzs kuongea matamshi vizuri na pia asipende kusaidiwa saidiwa laasivyoo ataambulia vilio .
 
Wewe ni Taifa gani kwani? Tuanzie hapo
 
Huyu Mwanamama wa IEBC anayepingana na mwenyekiti sijui aliahidiwa nini.. amini usiamini hapo anapigania mtumbo wake tu kuliweka taifa zima ktk machafuko yeye hajali kabisaa!!
 
Wakati Hustler akiwa busy kwenye tallying center yake kuhakikisha matokeo, Babu odinga alikua anapiga mvinyo na Kenyatta.


 
Sio mafala wale
 
Mama ameamua kusema ukweli

Chebugati amebeba bilion za ruto kuharibu uchaguzi
Huyu Mwanamama wa IEBC anayepingana na mwenyekiti sijui aliahidiwa nini.. amini usiamini hapo anapigania mtumbo wake tu kuliweka taifa zima ktk machafuko yeye hajali kabisaa!!
 
Sasa kama hilo unalosema ni eneo kubwa kama sehemu kubwa ni mashamba je?
 
Ni kama bin inavyowekwa kwenye majina ya kiarabu, mfano Osama bin laden, Muhammad bin Salman, inamaanisha "mtoto wa"

Au Ole ilivyp kwenye majina ya kimasai
Kama ni hivyo kheri nilikua mambo ya hassan
 
Swadaktar. Hao wanaoilalamikia hiyo asilimia ni mbumbu wa hesabu.
 
Kiukweli alishinda ila tatizo ni wanaogopa kumpa nchi maana hata hawezi kujisimamia mwenyewe anapelekwa pelekwa ila ruto anajipeleka anajiamini raila hajiamini nimeona maxi tokea mwanzo hadi mwisho ila mmh kupitwa ni imagination tricks .
Ila ndio siasa nampenda RUTO pole RAILA ukapumzike umechoka kuingizwa chaka kila matokeo ya uraisi
 
Why so bitter about Rai? Ni kuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…