Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Uchumi ulivyokuwa 2017 sio sawa na sasa; jaribu kutofautisha.2017 uchaguzi ulifutwa na mahakama naukarudiwa. This isn't new in Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi ulivyokuwa 2017 sio sawa na sasa; jaribu kutofautisha.2017 uchaguzi ulifutwa na mahakama naukarudiwa. This isn't new in Kenya.
Kubali yaishe kuwa raila ajifunzs kuongea matamshi vizuri na pia asipende kusaidiwa saidiwa laasivyoo ataambulia vilio .Kuongea inaenda na umri pia mkuu Odinga wa 2007 sio huyu lkn hajawahi kuyumba
Ruto ni muhuni he don't deserve to be in highest office ni vile tu siasa za kenya zinaruhusu ushawishi wa mwenye fedha na mwizi
Hili jambo linafka pia tanzania litaathiri nchi
Wewe ni Taifa gani kwani? Tuanzie hapoRuto ametumia uzoefu wake wa kuwa serikalini kuiba kura
Wakatumia kiini macho cha bandika mtandaoni kura za udanganyifu
Kenyatta mlevi hata hakuwa anafanya briefing za maendeleo ya uchaguzi akamuachia chebugati aliyepewa mablion ya pesa na kambi ya ruto
Haki itendeke uchaguzi urudiwe
Ukisoma statement za Odinga na hao maafisa wanne wa IEBC unaona zote zina quote kitu kimoja, na zote zimeandikwa na mtu mmoja Prof. Makau Mutua, lakini walipojichanganya zaidi maafisa vipenyo wa IEBC ni kwenye suala la kuzidi kwa asilimia eti wanasema total percentage inakuja 100.01% kwa hiyo ukichukua 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa sawa na kura 140,000 ambazo wanaona zimeenda ndivyo sivyo, Huu ni upuuzi wa hali ya Juu wameshindwa kujua kuwa 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa na kura 1,400. Tofauti hiyo haiwezi ku nullfy matokeo hata mahakamani kwa hesabu zao za kijinga walijua ni kura 140,000, Odinga akubali kushindwa amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo kisiasa na kiakili.
RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%
TOTAL = 99.999999999999977%
Kubali yaishe kuwa raila ajifunzs kuongea matamshi vizuri na pia asipende kusaidiwa saidiwa laasivyoo ataambulia vilio .
Wame panic, reference case yao wanayotaka kuitumia kupinga matokeo ni irrelevant.Sio mafala wale
Wewe ni Taifa gani kwani? Tuanzie hapo
Huyu Mwanamama wa IEBC anayepingana na mwenyekiti sijui aliahidiwa nini.. amini usiamini hapo anapigania mtumbo wake tu kuliweka taifa zima ktk machafuko yeye hajali kabisaa!!
Kwenye hesabu % haiwezi kuzidi kamweSio mafala wale
Sasa kama hilo unalosema ni eneo kubwa kama sehemu kubwa ni mashamba je?Ramani ikiwa inaonesha kuwa rangi ya Njano Ruto huku Blue ni Ruto. Hii ni siku za mwanzo kabla ya matokeo rasmi kutanganzwa. Chama cha Ruto kimejizolea kura nyingi maeneo yenye wakaazi wengi huku chama cha Raila kutwaa maeneo makubwa (rangi ya blue) ambayo kieneo ni makubwa lakini ukubwa huo haulingani na idadi ya wapiga kura.
View attachment 2325437
Wewe kama nani usijue?!!Hayo mimi sijui.
Mimi kama Mandonga mtu kazii.Wewe kama nani usijue?!!
Kama ni hivyo kheri nilikua mambo ya hassanNi kama bin inavyowekwa kwenye majina ya kiarabu, mfano Osama bin laden, Muhammad bin Salman, inamaanisha "mtoto wa"
Au Ole ilivyp kwenye majina ya kimasai
Ulikuwa mambo ya Hassan?Kama ni hivyo kheri nilikua mambo ya hassan
Swadaktar. Hao wanaoilalamikia hiyo asilimia ni mbumbu wa hesabu.Ukisoma statement za Odinga na hao maafisa wanne wa IEBC unaona zote zina quote kitu kimoja, na zote zimeandikwa na mtu mmoja Prof. Makau Mutua, lakini walipojichanganya zaidi maafisa vipenyo wa IEBC ni kwenye suala la kuzidi kwa asilimia eti wanasema total percentage inakuja 100.01% kwa hiyo ukichukua 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa sawa na kura 140,000 ambazo wanaona zimeenda ndivyo sivyo, Huu ni upuuzi wa hali ya Juu wameshindwa kujua kuwa 0.01% ya kura takribani milioni 14 ni sawa na kura 1,400. Tofauti hiyo haiwezi ku nullfy matokeo hata mahakamani kwa hesabu zao za kijinga walijua ni kura 140,000, Odinga akubali kushindwa amezungukwa na watu wenye uwezo mdogo kisiasa na kiakili.
RUTO — 50.4898850892213%
RAILA - 48.84905938756044%
WAJACKOYAH - 0.436001423201405%
MWAURE - 0.225054100016837%
TOTAL = 99.999999999999977%
Kiukweli alishinda ila tatizo ni wanaogopa kumpa nchi maana hata hawezi kujisimamia mwenyewe anapelekwa pelekwa ila ruto anajipeleka anajiamini raila hajiamini nimeona maxi tokea mwanzo hadi mwisho ila mmh kupitwa ni imagination tricks .
Ila ndio siasa nampenda RUTO pole RAILA ukapumzike umechoka kuingizwa chaka kila matokeo ya uraisi