Aisee ukiangalia ile ramani kura imepigwa kikabila.Kazi ipo. Ila inategemea kura za kambi ya nani zilizobaki kuhesabiwa. Hapa watabiri washajua nani atakuwa Rais.
Mkuu waliojiandikisha wapo mil 22 ,waliopiga kura ni mil 6.View attachment 2319933
Bado kura zaudi ya 10M hizo tatu umetoa wapi?
Bora asikubali Odinga.Deep State & SYSTEM itakuwa inashangaa Sanaaa.
.
Uhuru atamwambia RAO atoe Hotuba Ya Kukubali Matokeo - atamtafutia Kazi Nyingine!
.
Nafikiria- Joho, Junet, Babu Owino, Sabina Chege, Esther Paris few to be Mentioned. Technically killed there career
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiburi si maungwana kijana sasa si unaweza ukatembea uchi kwenye fukwe za huko Ulaya!??Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka hydroxo
Toa data kuwa wameanza ngome ya RitoRuto anachezewa mchezo wa kiasiasa sasa,wameanza kuhesabu kura kutoka ngome yake halafu ndio wanamalizia ngome za Odinga.kwisha habari yake.
Kazi ya mwananchi ni kupiga kura sio kuweka kiongozi amtakae madarakani Ingekuwa hivyo wapinzani wangekuwa wanashinda uraisi KILA sikuKuamini kuwa wapinzani tu ndo hushinda kwenye kura ni uzwazwa.
Bado sana vituo mob havijahesabiwa .muda ni mwamuzi mzuriRaila maji yashavuka shingoni yanalamba kidevu.
Tumaini linazidi kuyeyuka
Huu upuuzi unatoa wapi ww!!??Deep State & SYSTEM itakuwa inashangaa Sanaaa.
.
Uhuru atamwambia RAO atoe Hotuba Ya Kukubali Matokeo - atamtafutia Kazi Nyingine!
.
Nafikiria- Joho, Junet, Babu Owino, Sabina Chege, Esther Paris few to be Mentioned. Technically killed there career
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Walio piga kura ni mil 12 mkuu.Mkuu waliojiandikisha wapo mil 22 ,waliopiga kura ni mil 6.
Sasa hivi Ruto na Odinga kila mtu ana kura 1,500,000 + jumla zaidi ya kura mil 3 , so kwenye kura mil 6 zilizopigwa zimebaki kuhesabiwa kura mil 3
Kisumu ni Stronghold ya Raila huko lazima atashinda ila Mt Kenya wamechagua Ruto sababu ya Rigathi Gachagua( siasa ya Kenya ni ushawishi wa watu,kukubalika na watu wa eneo husika)mfano Nyeri County na Kirinyaga up to now ,massively wamepigia Ruto angalia picha iliyoambatanishwa hapo chiniMwana hebu tupe details za kikount Hasa Kisumu na mt Kenya. Tuendelee Kula porncorn.
Bado sana vituo mob havijahesabiwa .muda ni mwamuzi mzuri
Yes ahead 100k mie naamini ataapishwa odingaMmmh! Ngoja tuone!
Tangu saa mbili asubuhi mpaka muda huu saa sita Raila anatokea nyuma.
Kwa sasa tofauti ni Kura 100k Plus.
Kitendo cha kuitisha Press kinazidi kuonyesha Hali tete
#their career#Deep State & SYSTEM itakuwa inashangaa Sanaaa.
.
Uhuru atamwambia RAO atoe Hotuba Ya Kukubali Matokeo - atamtafutia Kazi Nyingine!
.
Nafikiria- Joho, Junet, Babu Owino, Sabina Chege, Esther Paris few to be Mentioned. Technically killed there career
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yes ahead 100k mie naamini ataapishwa odinga
Teh teh tehMkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka hydroxo