Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mmmh! Ngoja tuone!

Tangu saa mbili asubuhi mpaka muda huu saa sita Raila anatokea nyuma.
Kwa sasa tofauti ni Kura 100k Plus.

Kitendo cha kuitisha Press kinazidi kuonyesha Hali tete
Aloo kaona ngoma ngumu?
 
Kweli Ruto akishindwa hatakubali kweli yule maana mbishi kweli kweli odinga kashazoea hizi hali.
 
Mpaka amfikie Ruto kisha ampite yaani anahatua mbili mbele. KAZI anayo
Margin ni ndogo sana. Mombasa waliahirisha uchaguzi jimbo la Raila, Homabey jimbo la Raila ndio wamemaliza kucompile matokeo......
bado sana mkuu chill
 
Ngoja tuone Ila Kwa kweli Mimi sipendagi kutokea nyuma, napenda niwe mbele mpinzani wangu anikimbize(atokee nyuma).
Kitu kinachotokea nyuma huwa na momentum kubwa kikikupita margin inazidi kupungua wanaelekea kuwa sawa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…