Kwa kenya urais unategemea kura za wakenya na atakayeshinda ni RuttoAfrica yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
Aisee hizi mambo a za kuapia na id feko zetu sio sahihi toa namba zako hapa ili tuje tuone unavyokufa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka hydroxo
Kura za Nyanza tayari hapo?Live updates:
Ruto 4,543,347(51.4)
Raila 3,874,985(49.1)
RutoLive updates:
Ruto 4,543,347(51.4)
Raila 3,874,985(49.1)
Matokeo yakija kuwa tofauti wewe utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumizwa sana na haya matokeo kuliko hata Ruto mwenyewe. Kwenye siasa za Kenya lolote linawezekana.Mkuu nakulia timing mida ya jioni. Yani nitakuchekaa wakati huo nafungia champagne za kutosha. Believe me Ruto bin Samoei Ndo Rais wa Kenya
Ruto ana mashabiki vijana na anapenda fujo. Akishindwa itakuwa ni margin ndogo na atakataa, mzee Odinga akishindwa hata akikataa nguvu za kukimbizana hana na mashabiki wake sio hustlers fujo yao ina nafuu kuliko RutoKweli Ruto akishindwa hatakubali kweli yule maana mbishi kweli kweli odinga kashazoea hizi hali.
Ndgu usikariri Nairobi ilikuwa ya odm uchaguz huu imegeuka Hasa mombasaMargin ni ndogo sana. Mombasa waliahirisha uchaguzi jimbo la Raila, Homabey jimbo la Raila ndio wamemaliza kucompile matokeo......
bado sana mkuu chill
Ah wap .yuko nyuma kura kama 1mSo Raila anasogea mbele au sio!?
Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura.Live updates:
Ruto 4,543,347(51.4)
Raila 3,874,985(49.1)
Sasa wanaanza kuhesabu kwenye strong hold yake nadhani.Raila anaanza kufanya comeback
Typing error, raila ni 47.1Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura.
Tayari, Ruto anaongozaKura za Nyanza tayari hapo?