Hata kwenye mpira na makocha wanawasisitizia wachezaji wao kuwahi kutangilia kufinga goli. Hii inaadvange ya asilimia kubwa kushindwa mechi. Kwanza tayari mmeshamvuruga mpinzani kisaikolojia. Wakati yeye anaangaika kurudisha goli nyie kazi yenu kuongeza la pili kwasababu ataacha mianya mingi midfield na defense.Ngoja tuone Ila Kwa kweli Mimi sipendagi kutokea nyuma, napenda niwe mbele mpinzani wangu anikimbize(atokee nyuma).
Huku tunapiga kura Kama wendawazimu sio😂😂😂Siyo wanavyoeendesha uchaguzi tu, bali wanavyopiga kura kwa lessoning.
Wanapiga kura kama watu wenye akili timamu.
Anarudi kwa kasiRaila anafanya comeback
Hakuna tatizo kidemokrasia wako vizur,walikuwa wanatetea ugali wao.Ruto akiwa Raisi inabidi Fred Matiang na Karanja Kibicho wakimbie nchi kabisa.
Na Peter Munya
Hata kwenye mpira na makocha wanawasisitizia wachezaji wao kuwahi kutangulia kufunga goli. Hii ina advange ya asilimia kubwa kushindwa mechi kwa timu pinzan. Kwanza tayari mmeshamvuruga mpinzani kisaikolojia. Wakati yeye anaangaika kurudisha goli nyie kazi yenu kuongeza la pili kwasababu ataacha mianya mingi midfield na defense.Ngoja tuone Ila Kwa kweli Mimi sipendagi kutokea nyuma, napenda niwe mbele mpinzani wangu anikimbize(atokee nyuma).
Ruto 49.74%
Odinga 48.86%
Wajackoyah 0.45%
Waihiga 0.20%
Odinga anakuja kwa kasi niko nacheki live citizen tv now
Zimepungua sasa hivi tofauti ya kura ni elfu 31Yes ahead 100k mie naamini ataapishwa odinga
Mkuu naona wadau humu wana subiria ile ahadi yako [emoji1]Hahaha tuonane humu×2 jioni
Rutto:1,843,008Tupe votes zikoje
Okay kura bado zinaendelea kuhesabiwa ila mpaka namaliza kutype ni hiviTupe votes zikoje
Kuna portal ya iebc wameweka matokeo kutoka kwa kila kituo cha kupiga kura(form 34A). Wengi wanazichukua hizi matokeo na kuzijumuisha wenyewe. Pia media stations wanatoa matokeo yao hapo na kujumuisha ila wapo slow sana. Kwa ujumla hizi fomu ni 47,000 na ziko in image form kwahivyo unahitaji kuzidownload zote na uzijumuishe ndo upate final tallyHayo matokeo umayapata kwenye source ipi?
Kuna sehemu yenye source zaidi ya Bomas house?
IEBC watatoa final tally lini?Kuna portal ya iebc wameweka matokeo kutoka kwa kila kituo cha kupiga kura(form 34A). Wengi wanazichukua hizi matokeo na kuzijumuisha wenyewe. Pia media stations wanatoa matokeo yao hapo na kujumuisha ila wapo slow sana. Kwa ujumla hizi fomu ni 47,000 na ziko in image form kwahivyo unahitaji kuzidownload zote na uzijumuishe ndo upate final tally
Now ni 27kZimepungua sasa hivi tofauti ya kura ni elfu 31
Hafi mtu hapa. HahahaMkuu naona wadau humu wana subiria ile ahadi yako [emoji1]
Ova
Fakin deep state trying to rigg the elekshenNow ni 27k
Hizi number unatoa wapi? Sote tunaangalia live mbona hawajafikia hii idadi ya kuhesbau kura.Unataka kisema Citizen wako nyuma kiasi hiki?Live Updates
Ruto 4,778.458(51.7)
Raila 4,020,865(47.4)