Hata kwenye mpira na makocha wanawasisitizia wachezaji wao kuwahi kutangilia kufinga goli. Hii inaadvange ya asilimia kubwa kushindwa mechi. Kwanza tayari mmeshamvuruga mpinzani kisaikolojia. Wakati yeye anaangaika kurudisha goli nyie kazi yenu kuongeza la pili kwasababu ataacha mianya mingi midfield na defense.Ngoja tuone Ila Kwa kweli Mimi sipendagi kutokea nyuma, napenda niwe mbele mpinzani wangu anikimbize(atokee nyuma).
Kwa uhakika Ruto is the next president. Believe me