Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
what a comeback.....what is Dr Miguna's comments now!
The Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132


NTV wao wanasema

Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288

Nani mkweli hapo?
Inawezekana The Citizen wako sahihi kwa sababu huu ni mpambano kati ya Raila na Ruto, kwa mujibuy wako NTV wanaonesha ni mpambano wa Ruto na Uhuru
 
Hyo ni kwa Citizen ila kwa ntv wako live pia Ruto anaongoza kwa kura 100k.

Sijui wanatumia utaratibu gan.
Wanatengeneza mazingira ya kucheza na mfumo ,Ruto inatakiwa awe na matokeo yake mkononi faster ,alafu abaki anawachora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…