Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwakweli napenda Raila awe raisi lkn hili chaka lako bovuRaila anaongoza kwa kura 18k
The citizen ndo wakweliThe Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Inawezekana The Citizen wako sahihi kwa sababu huu ni mpambano kati ya Raila na Ruto, kwa mujibuy wako NTV wanaonesha ni mpambano wa Ruto na UhuruThe Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Bado sana maana wapiga kura zilizopigwa ni 14 M +.The Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Huu ni uchaguzi upi mkuu?Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Wanatengeneza mazingira ya kucheza na mfumo ,Ruto inatakiwa awe na matokeo yake mkononi faster ,alafu abaki anawachora tuHyo ni kwa Citizen ila kwa ntv wako live pia Ruto anaongoza kwa kura 100k.
Sijui wanatumia utaratibu gan.
🤣🤣🤣🤣 Waache bwana wanzako wako busy huko.Wakenya bwana kiswahili eti kumbe baba nae ako na mbio.
Masanduku ya kura yanasafirishwa Kama matenga ya nyanya....sijui huwa wanatuonajeBaada ya kupitishwa kigamboni
AnapataOdinga akikosa na hii sasa apumzike kwa kweli
Anapata
Wametuona sisi mazuzu ila binafsi sio zuzuMasanduku ya kura yanasafirishwa Kama matenga ya nyanya....sijui huwa wanatuonaje
Social media tayari kuna timely news achana na matv hayo yanachelewainategemea results ni current kiasi gani. KBC wanasema Rutto 52%, Citizen Odinga 50%. Achana na matokeo ya social media nenda IBC
Ni sawa na ile Real Madrid dhidi Manchester CityWonderful goal for Odinga best comeback ever.
Yote ni sahihi, wamehesabu Count tofauti.The Citizen wanasema
Odinga 1,970,681
Ruto 1,902,132
NTV wao wanasema
Ruto 2,054,025
Uhuru 1,924,288
Nani mkweli hapo?
Basi kwa mantiki hiyo matokeo bado sanaYote ni sahihi, wamehesabu Count tofauti.
Atakwenda kuchorea SugoiWanatengeneza mazingira ya kucheza na mfumo ,Ruto inatakiwa awe na matokeo yake mkononi faster ,alafu abaki anawachora tu