Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Upo sahihi sana,mi vimenivuruga mpaka nimeamua kutofuatilia tena.Kimsingi matokeo ilitakiwa kuwe na one source Kwa vyombo vyote vya habari
Hiyo source ya matokeo ingeleta tafrani,nani angeamini matokeo yanayotangazwa kupitia hiyo source ni ya kweli?
Ikitokea vyombo vyote vya habari,vikatangaza matokeo yote sawa mwishoni,itaongeza kuaminika kwa hayo matokeo.
 
Tuwaache majirani wafanye kile wanachoona kiko sawa kwao. Naona kila media imeona ijumlishe kivyake. Wanaomkubali Ruto wanaanza kuchukua figure kubwa kubwa, wakati huo wanaomkubali Raila wanachukua figure kubwa. Mwisho wa siko watakutana mbele huko na mshindi ataonekana. Ndio kwanza wako kwenye 5m bado kura zaidi ya 8m tujue mshibdi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…