Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Baada ya kupata ufafanuzi hapo juu inabidi nifute comment yangu, hakuna haja ya kuminya uhuru wa vyombo vya habar hongereni sana wakenyaUpo sahihi sana,mi vimenivuruga mpaka nimeamua kutofuatilia tena.Kimsingi matokeo ilitakiwa kuwe na one source Kwa vyombo vyote vya habari