Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hizi media za Kenya nazo nadhani zimekaa kisiasa sana,ukiangalia KTN, Citizens na KBC kila mtu anarusha matokeo yake tu......hakuna uniformity......wanachosha tu kwakweli
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.
 
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.
Basi kazi ipo 🤣
 
Citizen tv wanaendelea kuonyesha Raila anaongoza 51.5%
 
Matokeo ya sasa yamekuwa more transparency kwasababu ya Rulling ya high court .wagombea wengi wanakubali matokeo majimboni, case za udanganyifu ni chache mno
Fomu ya 34A ya matokeo ya uchaguzi vituoni iko transparency kwenye websites kila mtu anaiona na kila media Ina tallying centre yake ..so unaona uwazi ulivyo mkubwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.
Faida yake nini hiyo.Ni uzembe tu wa kiserikali.
 
Tanzania tuna la kujifunza.
 
Hizi TV za kenya hovyo kabisa na zinachanganya. Psmoja na mbwembwe zote za kuonyesha live kila Tv inaonyesha vitu tofauti. Kuna zingine zipo kwenye maelu, zingine laki , mara huku ruto anaongoza huku raila anaongoza. Kama hawawezi kuwa na harmony basi waiachie tume ifanye kazi yake
 
Faida yake nini hiyo.Ni uzembe tu wa kiserikali.
Matokeo yote yameshatoka mbona so hapo Kila mtu ana haki ya kuhesabu kura hata chumbani kwako then utajua Mshindi ni nani, IEBC wao watahesabu kupitia zile fomu za matokeo MANUALLY ndio watatangaza Mshindi wa jumla.

So hakuna uzembe ila ni uwazi Ili msije sema mtu kaibiwa
 
Mbali huko.Wengine vijiweni hawana muda kuhesabu kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…