Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Citizen anajulikana ni pro Odinga. Itakuwa wao kwa sasa wanamlisha motokeo kutoka County pro Odinga,TV zingine ni pro Ruto wanajumlisha kutoka pro Ruto.Mwisho wa siku watakutana tu.Hizi media za Kenya nazo nadhani zimekaa kisiasa sana,ukiangalia KTN, Citizens na KBC kila mtu anarusha matokeo yake tu......hakuna uniformity......wanachosha tu kwakweli