Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Watu wapo kwenye 5m+ , wewe bado upo na hao citizen bado mpo kwenye 2m+??
yes, I have noted that!
Ukiskia kuwashwa ndio hukuHuo udc wa kisarawe unaokuzuzua ipo siku utapigwa pumbu
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Watu wapo kwenye 5m+ , wewe bado upo na hao citizen bado mpo kwenye 2m+??
Ila kukutoa ujinga ni wajibu wanguKila mtu na chanzo chake
Amini chako
Niachie changu
Jecha huyo. Naskia sheni alishakubalibmatokeo nakutaka kumuachia maalim seif lakini mkwere na Ben wakamjia juu nakumuambia aache hizo mkwere alimaindi kichiz. Na mkwere eti Ndo anasimamia waangalizi wakimataifa KenyaView attachment 2320323
Mwingine huyu hapa. Bongo imejaa vijitu ya hovyo
Citizen wapo nyuma?Live Updates;
Ruto 5,612,830(52.7)
Raila 5,085,544(46.5)
Mawazo huru lakini pootofuMkenya mmoja alinisimulia kuwa OgingaOdinga baba yake na Raila waligombana na Jomo Kenyatta baba yake Uhuru.
Ikumbukwe wawili hawa walikuwa viongozi na marafiki wakubwa.
Baada ya ugomvi wao walilaaniana.
Oginga alimlaani Kenyata kuwa
1. Hatakaa Ikulu na kweli alikuwa hakai ikulu.
2. Haruhusiwi kuvaa viatu vya dukani. Hapo sijui kama ilitmia
3. Hatapanda ndege. Inasemekana mpaka anakufa hakupandaga ndege. Kifupi hakuwahi kwenda ng'ambo baada ya laana hiyo.
Kenyata alimlaani Oginga laana moja tu kuwa
" Watoto wa Odinga watakuwa maarufu sana ila hawatakuja kuwa ma(rais)".
Tafadhali mawe sihitaji ni maoni tu.
That is shit, ukabila tu unawamaliza wakenya wala sio kingine, kama sio ukabila Dinga angekuwa white house siku nyingi sanaaMkenya mmoja alinisimulia kuwa OgingaOdinga baba yake na Raila waligombana na Jomo Kenyatta baba yake Uhuru.
Ikumbukwe wawili hawa walikuwa viongozi na marafiki wakubwa.
Baada ya ugomvi wao walilaaniana.
Oginga alimlaani Kenyata kuwa
1. Hatakaa Ikulu na kweli alikuwa hakai ikulu.
2. Haruhusiwi kuvaa viatu vya dukani. Hapo sijui kama ilitmia
3. Hatapanda ndege. Inasemekana mpaka anakufa hakupandaga ndege. Kifupi hakuwahi kwenda ng'ambo baada ya laana hiyo.
Kenyata alimlaani Oginga laana moja tu kuwa
" Watoto wa Odinga watakuwa maarufu sana ila hawatakuja kuwa ma(rais)".
Tafadhali mawe sihitaji ni maoni tu.
SanaCitizen wapo nyuma?
Updates unaangalizia wapi mkuuLive Updates;
Ruto 5,612,830(52.7)
Raila 5,085,544(46.5)
Hili swali hawezi jibu,tangu mchana yeye ana matokeo yake.Hata ukienda kwa Social Media za Wakenya hukuti hizi figure zakeUpdates unaangalizia wapi mkuu