Safi sanaOdinga anafumuliwa marynder.
Umeandika mashudu, futa huu upumbavu.Mkenya mmoja alinisimulia kuwa OgingaOdinga baba yake na Raila waligombana na Jomo Kenyatta baba yake Uhuru.
Ikumbukwe wawili hawa walikuwa viongozi na marafiki wakubwa.
Baada ya ugomvi wao walilaaniana.
Oginga alimlaani Kenyata kuwa
1. Hatakaa Ikulu na kweli alikuwa hakai ikulu.
2. Haruhusiwi kuvaa viatu vya dukani. Hapo sijui kama ilitmia
3. Hatapanda ndege. Inasemekana mpaka anakufa hakupandaga ndege. Kifupi hakuwahi kwenda ng'ambo baada ya laana hiyo.
Kenyata alimlaani Oginga laana moja tu kuwa
" Watoto wa Odinga watakuwa maarufu sana ila hawatakuja kuwa ma(rais)".
Tafadhali mawe sihitaji ni maoni tu.
Mkaldayo Odinga ana close gap kwa haraka sana. Nahisi baada ya mda kidogo atamkata Ruto kwa mbali.Safi sana
duuuuh taarifa zinapishana itakuwa,,,mbona citizen inaonesha Ruto yupo nyuma
Citizen tv may begin tallying votes from Narok,Ntv begin from migori, KTN begin from Nyeri, will you expect the numbers to be the same, they will be same at the end of the total tally,,,duuuuh taarifa zinapishana itakuwa,,,mbona citizen inaonesha Ruto yupo nyuma
Mlongo mbona kura bado zahesabiwa😂😂😂Odinga ameshinda tayariiiiiii, poleeeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We utaniambia nini mtoto wa juzi,Cha msingi leta up to date za kenya,Povu lote hili sababu ya ukweli mchungu niliokupatia buree
Yani myebusi acha tu. Naanza kushikwa na panic attack. Bora ningetulia tu nakufuatilia comments tu za watu. Sasa stress zimenisonga. Ila I get comfort kutoka "kitu Cha Arusha". Najua Ruto ataibuka mshindi na wote tutafurahi.Mkaldayo Odinga ana close gap kwa haraka sana. Nahisi baada ya mda kidogo atamkata Ruto kwa mbali.
Not really it's because counting is different depending with each stations eg Citizen tv may begin tallying votes from Narok,Ntv begin from migori, KTN begin from Nyeri, will you expect the numbers to be the same?NOPE, they will be same at the end of the total tally,,,Relax matokeo rasmi yatatangazwa na tume. Mimi nimeacha kuangalia media za kenya maana zinatoa mataifa kutokana na kambi
.
Yaani ni Kama uchaguzi wa USA mwaka 2020 ulikuwa full mizengwe ukiangalia tv hii wanasema Trump anaongoza ukibadili unakuta anaongoza Biden basi tafrani....Mi nimechoka maana nimeona napoteza muda tu
How are you sure ngome zake zimeisha ? Ingekuwa kweli ingekuwa poa sanaHadi sasa Ruto 50.32 na Odinga 49.02 utofauti wa kura 100K hapo ruto anahasara maana majimbo yake karibu yote yamisha hesabiwa.
Siwezi na sijawahi kuwa mjinga. Mm ndio husaidia kuwakndolea watu ujinga kwa gharama sawa na bure
Naona Raila anasogeaHadi sasa Ruto 50.32 na Odinga 49.02 utofauti wa kura 100K hapo ruto anahasara maana majimbo yake karibu yote yamisha hesabiwa.
Ongeza msokoto mwingine.😂😂Safi sana
Nitaleta kadri nitavyoweza, kuwa mpoleWe utaniambia nini mtoto wa juzi,Cha msingi leta up to date za kenya,
Ooooh kumbe ndo walivyofanyaHadi sasa Ruto 50.32 na Odinga 49.02 utofauti wa kura 100K hapo ruto anahasara maana majimbo yake karibu yote yamisha hesabiwa.
🤣🤣Tz kivyetu vyetuYaani ni Kama uchaguzi wa USA mwaka 2020 ulikuwa full mizengwe ukiangalia tv hii wanasema Trump anaongoza ukibadili unakuta anaongoza Biden basi tafrani....
Huku kwetu akiongoza mmoja ndio huyo huyo mwanzo wa kuhesabu kura hadi mwisho
Huku tz hakunaga kupindua meza😂😂😂
Haya matokeo nenda nayo ado ado mzee ukileta mahaba utakufa kihoroo buree, wape wenye nchi uhuru wa kufanya kile walichoamua wao.Jamani naombeni yeyote mwenye reliable source ya haya matokeo. I wish NTV updates are the correct one. Kwasababu moyo unapenda mbio. Ntafurahi Sana Ruto akiibuka mshindi