Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mkenya mmoja alinisimulia kuwa OgingaOdinga baba yake na Raila waligombana na Jomo Kenyatta baba yake Uhuru.

Ikumbukwe wawili hawa walikuwa viongozi na marafiki wakubwa.

Baada ya ugomvi wao walilaaniana.

Oginga alimlaani Kenyata kuwa

1. Hatakaa Ikulu na kweli alikuwa hakai ikulu.
2. Haruhusiwi kuvaa viatu vya dukani. Hapo sijui kama ilitmia
3. Hatapanda ndege. Inasemekana mpaka anakufa hakupandaga ndege. Kifupi hakuwahi kwenda ng'ambo baada ya laana hiyo.

Kenyata alimlaani Oginga laana moja tu kuwa
" Watoto wa Odinga watakuwa maarufu sana ila hawatakuja kuwa ma(rais)".

Tafadhali mawe sihitaji ni maoni tu.
Umeandika mashudu, futa huu upumbavu.
 
Mkaldayo Odinga ana close gap kwa haraka sana. Nahisi baada ya mda kidogo atamkata Ruto kwa mbali.
Yani myebusi acha tu. Naanza kushikwa na panic attack. Bora ningetulia tu nakufuatilia comments tu za watu. Sasa stress zimenisonga. Ila I get comfort kutoka "kitu Cha Arusha". Najua Ruto ataibuka mshindi na wote tutafurahi.
 
Relax matokeo rasmi yatatangazwa na tume. Mimi nimeacha kuangalia media za kenya maana zinatoa mataifa kutokana na kambi
.
Not really it's because counting is different depending with each stations eg Citizen tv may begin tallying votes from Narok,Ntv begin from migori, KTN begin from Nyeri, will you expect the numbers to be the same?NOPE, they will be same at the end of the total tally,,,
 
Mi nimechoka maana nimeona napoteza muda tu
Yaani ni Kama uchaguzi wa USA mwaka 2020 ulikuwa full mizengwe ukiangalia tv hii wanasema Trump anaongoza ukibadili unakuta anaongoza Biden basi tafrani....
Huku kwetu akiongoza mmoja ndio huyo huyo mwanzo wa kuhesabu kura hadi mwisho
Huku tz hakunaga kupindua meza😂😂😂
 
🤣🤣Tz kivyetu vyetu
 
Back
Top Bottom