Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
chadema njoo mumuoe huyu binti anawapenda sana ataehuka kwa malove ya chadema
 
Upinzani wa Tanzania wahuni. Huwa mnaleta mitambo ya kuhaki matokeo. Ndio huwa lazima mdhibitiwe
 
Unataarifa ya wapiga kura waliokamatwa kwenye roli kutoka uganda?

Tofauti ni kwamba, hao wanaweza kuwa ni mpango wa chama/ mgombea lakini haihusishi time au vyombo vya serikali.

Huku kwetu unakuta time au vyombo tulivyotegemea viratibu na kusimamia zoezi Kwa haki ndio wanacheza hizo famba, Mara wapinzani wamejaza form vibaya, Mara mawakala watoke nje...orodha ni ndefu.
 
Tume haijaanza kujumlisha wanasubiri hardcopy 34A Matokeo yanachakatwa na Tv km NTV na Citizen ingawa sio final ILA rukhsa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…