google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Taratibu mama kwenye matokeo mahaba yasizidi mdogo mdogo ndio poa usijepanda presha sweetheart sawa baby girl ?Huyu mzee hata asiposhinda wamuachie aongoze hata muhula 1 tyuuh. Aridhike na yeye. Kwa upinzani huo wa kura, hata akishindwaa wampe jaman.
Naumia mie, lol
Hawa bado wapo nyuma ya NTV. Naona katika vyombo vyote NTV ndio wapo current zaidi
Apewe hata mashamba alime bangi huyu mzee kaupiga mwingiSisi wa bangi tupatiwe uwakilishi, 40k + siyo kidogo. Ni idadi inayotosha jimbo la ubunge.
Hongera Jah
Nenda ukanye umwage huko chooni aliyekukeraShost kuna watu wanaboa mnooo, yaan kanitibua hadi utumbo mpana unasinyaa na kutanuka bila mpangilio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidume huyo.Taratibu mama kwenye matokeo mahaba yasizidi mdogo mdogo ndio poa usijepanda presha sweetheart sawa baby girl ?
Hizi takwimu umetoa wapi na wote tunatazama tv? Acheni ujinga.Yes, Tutumie NTV ama CITIZEN .KATI YA VITUO 46000 TAYARI 31000,. ODINGA ANAONGOZA KURA 300000 VIMEBAKI VITUO KM 15000,TAKRIBAN BADO KUHESABIWA KURA 4ML KATI YA 14ML JE RUTO ATAZIBA GEP KM MWANZO AU NDIO FOR GOOD
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Kwetu netwok inakuwa slow, police kila kituo kukamata wapinzani. Matokeo ya vituo na wanayotangaza tofaut kabisa kama vile yanatoka nchi mbili tofautiMbona uchaguz wa kwetu watu walikuwa haufuatili hivi [emoji1]
Ova
Mwandiko wake wa kike ww msome vizurKidume huyo.
Kila kitu kinawezekana japo Babu anamwendo wa kumpiga selfie mtu hukoRAO ameshikilia 10% ya kura zote zilizobaki sijui kama Ruto anaweza fanya comeback ya kura zaidi ya 200,000+
Fatilia thread zake... sitaki kuandika mengi maana hapa si mahala pake.Mwandiko wake wa kike ww msome vizur
Sawa jombiiiFatilia thread zake... sitaki kuandika mengi maana hapa si mahala pake.
Achana na TV. Each party has the final numbers Mzee Baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupe source nzuri basi mkuu...Achana na TV. Each party has the final numbers Mzee Baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Fatilia thread zake... sitaki kuandika mengi maana hapa si mahala pakeMwandiko wake wa kike ww msome vizur
Wenzenu wako kwenye 5.7M huko
Kumbe ulisha listukia hilo dume linalojifanya jike? Eti linaita watu "we baba"Kidume huyo.
Siku ukikutana na dume linalojipodoa utaamini unacho ambiwa.Mwandiko wake wa kike ww msome vizur