Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Tutukane tena mkuu binafsi sijatosheka. Mijitu inaoigania jezi tena kwa hela yao.

Tanzania bado sana na sitarajii mabadiliko yoyote hivi karibuni.

Kina Nbowe na Lissu wameshituka, mtu mpaka anamiminiwa risasi 16 mchana kweupe hakuna hata kusikia watu wameandamana kuonyesha hasira zao na kuishinikiza serikali itoe majibu juu ya tukio baya kiasi hicho. Unategemea ataendelea kupigania mazezeta wakati ana taaluma yake na hela zake kiasi cha kumfanya aishi vizuri tu?

Kwanini aendelee kuweka maisha yake na ya familia yake rehani kwa watu wasiojielewa?

Bongo bado sana.
 
Tallying is happening randomly so unaeza pata bado hawajahesabu strongholds(rutto) zake. Its possible Ruto might still pass Baba while it's also possible Baba will maintain a gap.
 
Watu wa Raila wanataka tuamini namba zao..😂😂🤣🤣😂😂
 
Huu uchaguzi navyoona inategemea na wameanza kujumlisha sehemu gani au ngome gani?....nimeamka saa 11 nikaona citizen ruto aliongoza Pareefu zaidi ya kura laki mbili, sasahivi naona wanakaribia kulingana tena
Matokeo ya Urais na mshindi yatatangazwq na IEBC tu, hapa tungejikita kwenye matokeo ya nafasi nyingine maana ni porojo tupu za tv station.

Siku Tanzania tukiiga mfumo huu TBC italeta machafuko makubwa na umwagaji damu.
 
Mpaka muda huu (sasa hivi) naandika huu uzi ni kwamba Hustler Ruto anaongoza kwa mbali dhidi ya Mr. Kitendawili Odinga.

Kwakuwa Ushindi wa Ruto utakuwa ni Chukizo na Hatari kwa Ustawi wa Rais anayemaliza muda wake Uhuru Kenyatta piga ua 'System' ya Kenya itaiba Kura za Ruto na kumpa Odinga Ili awe Rais ilimradi tu Uhuru Kenyatta awe Salama.

Hivyo basi kwakuwa najua Ruto na Wafuasi wake si Watu wa Mchezo Mchezo na wana uhakika wa Ushindi endapo ataporwa Matokeo tutarajie Machafuko makubwa pengine hata kuliko yale ya Chaguzi zilizopita kwani 60% ya Wafuasi wa Ruto ni Vijana wa Kenya wenye Hasira ya Maisha Magumu, Kukosa Kazi na wako tayari kwa lolote.

Hii inaitwa Usiyempenda amekuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…