DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Tutukane tena mkuu binafsi sijatosheka. Mijitu inaoigania jezi tena kwa hela yao.
Tanzania bado sana na sitarajii mabadiliko yoyote hivi karibuni.
Kina Nbowe na Lissu wameshituka, mtu mpaka anamiminiwa risasi 16 mchana kweupe hakuna hata kusikia watu wameandamana kuonyesha hasira zao na kuishinikiza serikali itoe majibu juu ya tukio baya kiasi hicho. Unategemea ataendelea kupigania mazezeta wakati ana taaluma yake na hela zake kiasi cha kumfanya aishi vizuri tu?
Kwanini aendelee kuweka maisha yake na ya familia yake rehani kwa watu wasiojielewa?
Bongo bado sana.