Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kama kichwa cha habari kina vyojieleza Deep state imekwisha maliza uchaguzi huko Nyayo kinachoendelea ni kuwafurahisha vibwengo tu nyuma ya pazia rehearsal za kumuapisha Agwambo zinaendelea.
Asanteni kwa kushiriki.
Wakenya wanajitambua !!
 
Citizen na Ktn
 

Attachments

  • Screenshot_20220811-092210.png
    212.4 KB · Views: 6
Ungezileta hapa screen shots,ili watu tuamini kua humchafui.
 
If Nyqnza went out to vote at 80%+ and Mombasa, Nairobi and Kakamega reach atleast the minimum of 65% voter turnout Raila will win. The problem is we dont have turnout per county. Looking at Mt Kenya they whooply went to Ruto but their turnout was somehow dismal as they ranged between 50-55 percent. Whoever win the tally he must understand that half of the country is not with him.
 
Wenye akili kubwa hawajikqezi hata Siku 1,acha tabia ya kimagufuli ya kutaka upendwe na kila mtu-kama huko kwenye familia yako wapo wanao kudisi huku Jf ndio unataka kila mmoja akukubali?? Loh
 
Nipo kwenye group watsup na wakenya tumejumlisha
Hawawezi sio kazi rahisi kama unavyofikiria..labda ungesema hata rayol media ndio kidogo wanaweza kuwa angalau vifaa venye kasi kwanza unadownload wapi si hapo hapo IBEC portal..
 
Nairobi kama Dar es Salaam always watu wapo against chama Tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…