kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,672
- 3,055
Wakenya wanajitambua !!Kama kichwa cha habari kina vyojieleza Deep state imekwisha maliza uchaguzi huko Nyayo kinachoendelea ni kuwafurahisha vibwengo tu nyuma ya pazia rehearsal za kumuapisha Agwambo zinaendelea.
Asanteni kwa kushiriki.