Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Yaan kila chanell Ina matokeo yake,ndo maana wanachinjana kila uchaguzi
Kumbe Tanzania uko juu Sana kidemocrasia,hongeren Sana viongoz wa Tanzania,Kenya inatakiwa waige kwetu
Heading inatakiwa isomeke hivi,"kumbe Kenya inaendesha uchaguzi Hovyo Sana" samahan nilikosea badala ya kuandka Hovyo nkaandka hivyo!! Kaz kwenu
 
Wee nae khaaaah, hebu huko.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha kabisaaaaa.
E.Afrika nchi ambazo zimebaki kuendesha uchaguzi kishamba wakizani ni sifa mbele ya Dunia ya wastarabu,
TANZANIA
UGANDA
RWANDA NA na vi nchi vingine Kama viwi hivi ,lazima hii Tabia kukomeshwa Mara moja
 
We ndo Hujui Kama kila channel ina upload matokeo kwenye tallingy station kivyake hivyo Lazima yatofautiane Ila mwishoni yatakuwa sawa
A wap!!! Hayawez kuwa sawa,na muda si muda wataanza kuchinjana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

E.Afrika nchi ambazo zimebaki kuendesha uchaguzi kishamba wakizani ni sifa mbele ya Dunia ya wastarabu,
TANZANIA
UGANDA
RWANDA NA na vi nchi vingine Kama viwi hivi ,lazima hii Tabia kukomeshwa Mara moja
Uganda Tz na Rwanda ule sio uchaguzi ni maigizo tu, hamna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…