Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ru or Ra !?
IMG_20220811_121432.jpg
 
vijana hawapo tayari kuonhozwa na mzee ambaye hana tena nguvu ya kukimbizana.
 
Odinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.

Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.

Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha
 
Yaan Odinga ashinde haraka mnooo, niweze kula chakula, maana hata hamu ya kula imekata.
 
Odinga ashinde fasta,huyu Baba ni mvumilivu na mstaarabu,yuko tayari kufanya 'handshake' na wapinzani wake kwa manufaa ya Umma,hakati tamaa,hana lugha chafu,anatufaa East Afrika.

Rutto naona anajazba sana na tamaa ya madaraka,alishindwa kumsaidia raisi kujenga nchi akaanza mizunguko ya kujiimarisha na kuropoka hovyo,Kuna kauli alitoa kuhusu DRC haikuwa nzuri kidiplomasia,anaweza kutuvuruga E.A.

Ajifunze kwaza uvumilivu wa Baba.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Angekua mvumilivu asingekubali kwenda kuapishwa ikiwa alishindwa.

Kuhusu kuhandshake na wapinzani wake, hapo Sasa ndio ikuonyeshe alivyokua na tamaa. Odinga alijua kabisa ni lazima aungane na kenyetta ili kuipata ikulu kutokana na nguvu aliyonayo ruto. Kenyatta nae alikuwa hana namna ya kuungana na odinga kwa kuwa Kenyatta ni raisi mfanyabiashara hofu yake asipoungana na odinga, na odinga akashinda uchaguzi itakula kwake. Hivyo handshake hazijatokea tu kwa bahati mbaya au eti sijui ni waungwana
 
Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha
Sawa,haya ni maoni yako,tusubiri Kenya waamue
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Angekua mvumilivu asingekubali kwenda kuapishwa ikiwa alishindwa.

Kuhusu kuhandshake na wapinzani wake, hapo Sasa ndio ikuonyeshe alivyokua na tamaa. Odinga alijua kabisa ni lazima aungane na kenyetta ili kuipata ikulu kutokana na nguvu aliyonayo ruto. Kenyatta nae alikuwa hana namna ya kuungana na odinga kwa kuwa Kenyatta ni raisi mfanyabiashara hofu yake asipoungana na odinga, na odinga akashinda uchaguzi itakula kwake. Hivyo handshake hazijatokea tu kwa bahati mbaya au eti sijui ni waungwana
Sawa,haya ni maoni yako,Yakwangu yanabaki vilevile,tusubiri matokeo tu
 
Transparency inayoendelea ni kubwa sana, namsikiliza Chebukati kupitia NTV hapa, anawambia watu wa quality assurance, waendelee kucrosscheck forms na kama kuna form kutoka kituoni ina makosa wao hawana control nayo, bali ngoma itapelekwa mbele (mahakamani) ikaamuliwe huko.

Kwa kweli Tz tutachelewa sana kufika huko.
 
Back
Top Bottom