CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Sasa umekataa nini kuhusu tamaa?Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha