Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ruto Hana tamaa, ni viongozi wachache leo kuamua kuacha keki mezani ya taifa katika mtazamo ambao kwake anaona hauko sawa , nakutafuta njia nyingine ambayo anaweza implement maono yake bila shida, that what Ruto did, na huo Ndo uongozi , angebaki pale alikua anaisha kisiasa, na kupoteza ndoto zake , kila mtu anandoto zake kwenye maisha
Sasa umekataa nini kuhusu tamaa?
 
Transparency inayoendelea ni kubwa mtu, namsikiliza Chebukati kupitia NTV hapa, anawambia watu wa quality assurance, waendelee kucrosscheck forms na kama kuna form kutoka kituoni ina makosa wao hawana control nayo, bali ngoma itapelekwa mbele (mahakamani) ikaamuliwe huko.

Kwa kweli Tz tutachelewa sana kufika huko.
Huyu mwenyekiti wa tume ana akili sana....anachoongea ni sawa na kikwete anachosema... matokeo yenye mgogoro ni kuachana nayo...wagombea waende mahakamani wakaamuliwe kwanza.... hakuna kubeba lawama ya mtu....kwa mwendo huu matokeo yatakayotangazwa na Tume yataaminika sana kuliko chochote

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
vijana hawapo tayari kuonhozwa na mzee ambaye hana tena nguvu ya kukimbizana.
"Wanasema ikulu haiwezi kuongozwa na mzee, na Mimi nawauliza kwani ikulu kunamtu anakwenda kubebe zege?" By malachela
 
Watu waache siasa za kuchafuana,mnaona yanayotokea Kenya?mambo yanabadilika,anashinda mtu ambae wengi hawamdhanii,ndiyo mambo ya Mungu yalivyo hayo.
 
Back
Top Bottom