Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,397
- 2,469
Kashashuka Odinga anapanda49.55% Ruto kwa 49.04% RAO
Ngoma bado mbichi 1.4m kura zilizobaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashashuka Odinga anapanda49.55% Ruto kwa 49.04% RAO
Ngoma bado mbichi 1.4m kura zilizobaki
Nimeona Mkuu,hii ngoma bado mbichiKashashuka Odinga anapanda
Unanifurahisha sana basi tu ni vile hatujuani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Huwezi lazimisha maji panda mlima ,Kama Kama Wakenya wamekubali uchaguzi uwe huru na haki walisha jiandaa kwamba yoyote anaweza kuwa Rais, Kinyatta atakua mjinga kwamba badala akapumzike kwa kheri ,ajiingize kwenye Mambo ya ajabu ambayo yanaweza leta machafuko raha ya kupumzika inakua wapi Kama mstaafu na mzee muhim katika Taifa lao, kura zikitosha Ruto anakalia kiti ,hawezi puuza matakwa ya Wakenya Kama sie tz tupuuzavyo matakwa ya watz, na iyo sijui tofauti ya Ruto na Kinyatta inakua imezikwa rasmi,Mbona unajiongelesha kwa huruma!!!?
Raila is the next president of Kenya tek that to the bank or your wallet
Mpeni na dildo ajimalizie kabisa asijipandishie mwanza nyegezi bure bureUnajipiga romance mwenyewe!
Mambo ni motoHuwezi lazimisha maji panda mlima ,Kama Kama Wakenya wamekubali uchaguzi uwe huru na haki walisha jiandaa kwamba yoyote anaweza kuwa Rais, Kinyatta atakua mjinga kwamba badala akapumzike kwa kheri ,ajiingize kwenye Mambo ya ajabu ambayo yanaweza leta machafuko raha ya kupumzika inakua wapi Kama mstaafu na mzee muhim katika Taifa lao, kura zikitosha Ruto anakalia kiti ,hawezi puuza matakwa ya Wakenya Kama sie tz tupuuzavyo matakwa ya watz, na iyo sijui tofauti ya Ruto na Kinyatta inakua imezikwa rasmi,
Kinyatta sio Mjinga
Unaweza kuwa unafuatilia vi channel ambavyo wanahesabu polepole wapo kwenye 5m + halafu unasema come back kumbe watu tangu saa 8 za usiku wapo kwenye 6m na walishavuka hiyo hatuaAkipiga hii comeback anakuwa juu
Fire kweli kweli yani
Raila ndiye raisi anayeridhiwa na Uhuru.Anataka aondoke amwache ndugu yake.Ruto katika siasa kongwe za Kenya ni wa kuja.49.55% Ruto kwa 49.04% RAO
Ngoma bado mbichi 1.4m kura zilizobaki
Kheee jamani poleeee 😂😂😂😂Shost kuna watu wanaboa mnooo, yaan kanitibua hadi utumbo mpana unasinyaa na kutanuka bila mpangilio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo avatar yako, inanikumbusha mbali.Unanifurahisha sana basi tu ni vile hatujuani
wakenya wako vizuri sana, pamoja na baba kupewa kipaumbele na rais pamoja na state machinery zote lakini bado anapelekeshwa na hustler, hii safi sana wananchi ndio waamue kiongozi wanamtaka sio state machinery kujiwekea watu wawatakao wao!!Raila ndiye raisi anayeridhiwa na Uhuru.Anataka aondoke amwache ndugu yake
Wapo nyuma sana, sasa hivi tupo 6m+
Dear nimecheka mnooo, ila Kenya ndo wana democracy ya kweli, sio hapa ni propaganda tyuuh.Yaani hadi natamani kuwa mkenya. Mimi ningekuwa mkenya ningekuwa mbunge kwa ticket ya mgombea binafsi.
Jibu litakua moja form A34 ziko uploaded kwenye website yao nawewe unaweza ukafuatilia ukapata takwimu zako binafsiNajiribu kuwaza kuhusu hii the so called uwazi.
Pamoja na kwamba vyombo vyote vya habari na kila mtu kujidai anajumlisha matokeo kutoka portal ya IEBC lakini yote hayafanani.
Kila mtu anafuatilia chanzo chenye matokeo anayoyapenda.
Mwisho wa siku IEBC watatangaza ya kwao pengine hayatafanana na haya wanayolishwa raia kila muda.
Ngoja tuone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kheee jamani poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]