Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Raila huyu baba ashinde niwe na amani, namuonea huruma mnoo, wampe hata muhula m1 aridhike na yeye.

Kwakweli anatia huruma Raila. Kutakua kuna roho ya kukataliwa katika hicho kiti kuanzia kwa baba yake na sasa inamfuta yeye

Yaani uchaguzi ukirudiwa Raila amtafute Mungu amsaidie kujua ni agano gani liliwekwa kwa kwao ambalo linawanyima hata kile wanachostahili na kuwastahilisha wengine. Vinginevyo wataendelea kuishia kama kina Sauli, Esau🤣🤣🤣
Yaani utadhani wamekataliwa na Mungu kama walivyokataliwa Amaleki.
 
Wazo zuri ila kufikia huko ni efforts ya watanzania wote, tusitegemee watanzania wengine watupiganie wakati sisi tupo kwenye ukunguru
Hakika,wanasiasa hata wa upinzani,wakiona watu wameamua kabisa kujipigania,watapata nguvu ya kuongoza mapambano,ila am sure,CCM waanze kujitafakari,nadhani huo upepo wa Kenya,utavumia na huku.Time will tell,na hata vyombo vya ulinzi na usalama,vitaamua kuacha wananchi waamue,na vyombo husika vitabaki kusimamia kazi zao kikatiba.
 
Kwakweli anatia huruma Raila. Kutakua kuna roho ya kukataliwa katika hicho kiti kuanzia kwa baba yake na sasa inamfuta yeye

Yaani uchaguzi ukirudiwa Raila amtafute Mungu amsaidie kujua ni agano gani liliwekwa kwa kwao ambalo linawanyima hata kile wanachostahili na kuwastahilisha wengine. Vinginevyo wataendelea kuishia kama kina Sauli, Esau🤣🤣🤣
Yaani utadhani wamekataliwa na Mungu kama walivyokataliwa Amaleki.
Mbona unajiongelesha kwa huruma!!!?
Raila is the next president of Kenya tek that to the bank or your wallet
 
Presidential
National
Governor
Senate
Women Rep
National Assembly
County
Constituency

Elections 2022
Kenya Elections 2022

Raila Odinga
AZIMIO

51.62%

5,610,424 Votes

William Ruto
UDA

47.70%

5,184,591 Votes

George Wajackoyah
RPK

0.44%

47,878 Votes

David Waihiga
AGANO

0.23%

25,359 Votes

PROVISIONAL RESULTSOFFICIAL RESULTS
10,868,252
Total votes cast
33,201 of 46,229
Polling stations reporting
The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
 
[emoji736]NTV wako Sawa...
[emoji736] Citizen wako Sawa..
[emoji736] KTN wako Sawa...

They maybe reporting differently but at the end of the day, their figures are going to converge somewhere
Ngoja mwisho trial ballance zigome , ndio watakapoleta machafuko kwa watu kuwafanya kama reference
 
Naona Raila anaanza kupunguza Gap,kwa mujibu wa citizen TV.Bado kura million 1 na nusu tu kuhesabaiwa. Kazi ipo ila naona kabisa round 2 inanukia.
 
Huu uchaguzi hakuna mshindi wanarudia
Screenshot_20220811-112018.jpg

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Ushindani wa nini.Visa na mikasa ndivyo vinavyotawala.Pesa zinapotea bure.Tuunde utaratabu wetu mbali kabisa na demokrasia ndipo tutafanikiwa.
Kenya wana maendeleo na uchumi mkubwa zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo yenye ukame kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,
Sasa Tanzania hizo hela unasema tinaziokoa zinasaidia nini?
 
Mkuu hii ni karne ya 21 Wananchi wengi wameanza kuwa na upeo wa siasa.....Angalia maeneo ya Uhuru Kenyatta alipopiga Kura (UDA ya Ruto imechukua karibu ngazi zote)...Angalia maeneo ya nyumbani kwao Mama yake alikopigia kura ni UDA imeshinda

Uhalisia ni kwamba Uhuru alipomuunga mkono Raila ndio aliharibu sababu wakenya wengi walikuwa wamechoka na uongozi wa Uhuru Kenyata hasa kiuchumi....kashfa za Rushwa za Ndugu wa karibu wa Uhuru Kenyatta kama za KEMSA.....Umiliki wa Vituo vya mafuta kama Rubis.

Angalia Raila Odinga aliwakataa Musalia Mudavadi na Moses Wetangula hao ndio wameleta ushindi mkubwa kwa Ruto sehemu za Western Kenya ilihali kwa miaka mingi ilikua ni ngome ya Raila
Muda utasema hii

Mwenye asilimia kubwa ndio mshindi mwisho wa game, Mimi ni mtazamaji tu mkuu
 
Kenya wana maendeleo zaidi kuliko Tanzania, japokuwa wapo wachache na ardhi kidogo kuliko sisi na chaguzi zao zina ushindani kila mara,
Sasa Tanzania hizo hela unasema tinaziokoa zinasaidia nini?
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
 
Back
Top Bottom