Uchambuzi wako hauna facts, ni dhana na maoni yako ambayo hayana hata backup ya takwimu .
Ukiangalia kwenye ramani ya Kenya Sehemu kubwa ya majimbo ya uchaguzi ipo mikononi mwa Odinga. Hata jiji la Nairobi liko mikononi mwa odinga. Ukifanya population ya majimbo anayaochukua Ruto na population ya majimbo anayochukua Odinga, utakuja na makisio yaliyo karibu zaidi na uhalisia wa kuwa nani atachukua nchi. Ramani ya matokeo ya uchaguzi inaonesha kuwa nchi ya Kenya imegawanyika, upo ukanda wa Ruto na ukanda wa Odinga.
Dhana ya deep state kuiba kura, sio ya kuipa nafasi sana, kiwango cha uwazi kwenye uchaguzi wa Kenya ni kikubwa kuliko hata mataifa mengi yaliyoendelea