Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Uchambuzi wako hauna facts, ni dhana na maoni yako ambayo hayana hata backup ya takwimu .

Ukiangalia kwenye ramani ya Kenya Sehemu kubwa ya majimbo ya uchaguzi ipo mikononi mwa Odinga. Hata jiji la Nairobi liko mikononi mwa odinga. Ukifanya population ya majimbo anayaochukua Ruto na population ya majimbo anayochukua Odinga, utakuja na makisio yaliyo karibu zaidi na uhalisia wa kuwa nani atachukua nchi. Ramani ya matokeo ya uchaguzi inaonesha kuwa nchi ya Kenya imegawanyika, upo ukanda wa Ruto na ukanda wa Odinga.

Dhana ya deep state kuiba kura, sio ya kuipa nafasi sana, kiwango cha uwazi kwenye uchaguzi wa Kenya ni kikubwa kuliko hata mataifa mengi yaliyoendelea
Hapo kwenye ramani na wewe u achanganya,inshu sio ramani kuwa kubwa inshu ni Namba of people per county.county zenye watu wengi ambazo hazinahesabiwa ndizo Zitabadili matokeo
 
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
Unaongea pumba
 
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
Ukiondoa takwimu? Utaondoa takwimu uweke maoni yako? Kila kitu kinapmwa kwa takwimu, sio maoni..
Ukisema watu wake ni masikini kuliko Tanzania lazima utoe na takwimu za kuonyesha hilo

Ukisema magorofa yapo mengi upande huu lazima utoe takwimu
 
Kwakweli anatia huruma Raila. Kutakua kuna roho ya kukataliwa katika hicho kiti kuanzia kwa baba yake na sasa inamfuta yeye

Yaani uchaguzi ukirudiwa Raila amtafute Mungu amsaidie kujua ni agano gani liliwekwa kwa kwao ambalo linawanyima hata kile wanachostahili na kuwastahilisha wengine. Vinginevyo wataendelea kuishia kama kina Sauli, Esau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani utadhani wamekataliwa na Mungu kama walivyokataliwa Amaleki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan namuonea huruma mno, akishindwa bas aache siasa, afanye mambo mengine.
 
Acha upumbavu, jadili hoja iliyo mbele yetu, mimi ninalaani sana to sort out a problem or argument thr violence, Mr kikwete kwangu ni mwongo na mnafiki, finish&kraal
 
Kenya kiuhakika ukiondoa takwimu hakuna maendeleo kuliko Tanzania.Watu wake ni maskini sana kuliko watanzania..Majumba ya ghorofa yaliyopo Dar huyakuti Nairobi na ukiyakuta yanatisha kupanda.Kuna kipindi kifupi walitupita kwenye madaraja ya juu.Sasa kwa kasi tunawawacha nyuma. kwa ubora ,ukubwa na wingi.
Ni kweli kabisa, Wakenya choka mbaya ni serikali ambayo ina pesa lakini raia wako hoi
 
Kwan kipindi MOI anamnadi Uhuru na Mwai Kibaki akachukua nchi MOI aibu aliiweka wapi?
Kenya miaka yote Wakikuyu ndo huamua uongozi uende wapi. Moi mwenyewe alipewa na Jomo baada ya kuhitilafiana na Jaramogi. Hivyo kwa Moi kiti kwenda kwa Kibaki 2002 hakuna alichokuwa amepoteza bado uongozi ulienda kwa wakikuyu. Uhuru alichokifanya safari hii ilikuwa ni kuvunja taboo hii ya ushirikiano ulipo baina ya wakikuyu na wakalenjin kuwadhibiti waluo wasipate madaraka kamwe Kenya. Na ikitokea yeyote akashinda kati ya Hawa wawili Odinga na Ruto wakikuyu ndo watakuwa wameamua. Sijui kama umenielewa.
 
Back
Top Bottom